I am sure zitaendelea kubaki ni tuhuma tu till End of the World !! Maana kama ushahidi ungekuwepo wangeshauanika kitambo !! Ni kawaida ukigusa maslahi ya mafisadi utapata shutuma nyingi za kutunga tunga !!Unajua tuhuma bila ushahidi ni uzushi ?
Upinzani wameamuliwa content, what to trend by CCM. Wao hawaonagi mbali ili mradi mambo ya viongozi yamekaa sawa.Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Uchu wa madaraka mbaya sana.Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.
Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.
Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?
Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?
Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Unaelewa Yale maovu yanaweza fanya na mtu yeyote ?
Kama kuweka uovu wa magu ni wapinzani kugeuzwageuzwa kama chapati, acha iwe hivyo.Kuna watu wanaamua kinachotrend hapa nchini. Ni kati ya maeneo ambayo Tanzania tuko vizuri sana kuanzia chini kwenda juu. Hivyo wapinzani wanageuzwa geuzwa kama chapati.
What do they want to achieve? Ni burudani?Kama kuweka uovu wa magu ni wapinzani kugeuzwageuzwa kama chapati, acha iwe hivyo.
Kuna independent offices za kushughulikia hayo. Mbona sasa JPM hayupo na hawafanyi huo uchunguzi?Uko sahihi, kama yanaweza kufanywa na mtu yeyote, mbona hakukuwa na uchunguzi ili huyo yoyote afahamike? Mfano mrahisi pesa zaliporwa na watu waliokuwa wamevalia kijeshi kwenye bureau de change, mbona hakukuwa na uchunguzi? Naona unataka kutetea mtu muovu kwa maelezo ya bei rahisi. Kama ulifaidika na uovu wake, vumilia ukweli ukiwekwa hadharani.
Huyo aliyekuwa anawafanyia wapinzani uovu alikuwa anataka kuachieve nini?What do they want to achieve? Ni burudani?
Huyo aliyekuwa anawafanyia wapinzani uovu alikuwa anataka kuachieve nini?What do they want to achieve? Ni burudani?
Yupi huyo?Huyo aliyekuwa anawafanyia wapinzani uovu alikuwa anataka kuachieve nini?
Mifumo ilishaharibika na yeye ndio ilikuwa sababu. Hawana haja ya kufanya uchunguzi maana aliyetenda hayo mnasema amekufa hawezi kujitetea. Inawezekana kweli wapinzani hawajuia adui yao halisi, lakini bado Magu hakuwa rafiki yao zaidi ya kuwafanyia uadui wa wazi.Kuna independent offices za kushughulikia hayo. Mbona sasa JPM hayupo na hawafanyi huo uchunguzi?
Wapinzani msipojua your real enemy, mtaendelea kubaki hapo hapo.
Yupi huyo?
Uko too pro CHADEMA huwezi fikiri nje ya hapo .Kama kuweka uovu wa magu ni wapinzani kugeuzwageuzwa kama chapati, acha iwe hivyo.
Atleast umewaza nje ya boxMifumo ilishaharibika na yeye ndio ilikuwa sababu. Hawana haja ya kufanya uchunguzi maana aliyetenda hayo mnasema amekufa hawezi kujitetea. Inawezekana kweli wapinzani hawajuia adui yao halisi, lakini bado Magu hakuwa rafiki yao zaidi ya kuwafanyia uadui wa wazi.
HakikaKuna watu wanaamua kinachotrend hapa nchini. Ni kati ya maeneo ambayo Tanzania tuko vizuri sana kuanzia chini kwenda juu. Hivyo wapinzani wanageuzwa geuzwa kama chapati.