Ukaribu na ushirikiano uliopo kati ya CCM na CHADEMA kwa sasa unanifanya nifikiri ni nani walihusika na matukio ovu awamu ya TANO

Siasa ndivyo zilivyo, binadamu wana majeraha, muda unaongea...
 
Na
Unajua tuhuma bila ushahidi ni uzushi ?
I am sure zitaendelea kubaki ni tuhuma tu till End of the World !! Maana kama ushahidi ungekuwepo wangeshauanika kitambo !! Ni kawaida ukigusa maslahi ya mafisadi utapata shutuma nyingi za kutunga tunga !!
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Upinzani wameamuliwa content, what to trend by CCM. Wao hawaonagi mbali ili mradi mambo ya viongozi yamekaa sawa.
Unakulaje matapishi yako wakati demands ulizotaka hazijafanyiwa kazi?
 
Hivi ni nini kipo nyuma ya hizi kebehi dhidi ya Hayati Magufuli? Maneno na tuhuma kali sana zinapelekwa kwa huyu kiongozi.

Sio serikali wala CCM wanamtetea huyu kiongozi, cha kushangaza zaidi ni CHADEMA nao wamejiunga pamoja katika kila siku kuhakikisha taswira ya hayati inaharibika.

Je, hizi harakati za kuhakikisha Hayati Magufuli taswira yake kwa wananchi zilianza kabla ya kifo chake?

Je, tukisema baadhi ya wana CCM na CHADEMA walihusika kwenye utekaji na mashambulio mbalimbali, tutakuwa tunakosea?

Je, hii nguvu inatumika kuharibia Hayati Magufuli inafanywa kwa manufaa ya nani?
Uchu wa madaraka mbaya sana.

Kuna watu wanaishi ili wafurahishe watawala wao.
 
Kuna watu wanaamua kinachotrend hapa nchini. Ni kati ya maeneo ambayo Tanzania tuko vizuri sana kuanzia chini kwenda juu. Hivyo wapinzani wanageuzwa geuzwa kama chapati.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Na wanahangaika na marehemu ya kazi gani? Huwezi kumfunga, hawezi kuamka na kukujibu, why? Ili nafsi ifurahi? Na furaha ya kifo chake hakijawatosha? Watu wanashindwa kuelekeza akili kwenye uzalishaji, wanaelekeza kwenye mtu aliyefariki?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Unaelewa Yale maovu yanaweza fanya na mtu yeyote ?

Uko sahihi, kama yanaweza kufanywa na mtu yeyote, mbona hakukuwa na uchunguzi ili huyo yoyote afahamike? Mfano mrahisi pesa zaliporwa na watu waliokuwa wamevalia kijeshi kwenye bureau de change, mbona hakukuwa na uchunguzi? Naona unataka kutetea mtu muovu kwa maelezo ya bei rahisi. Kama ulifaidika na uovu wake, vumilia ukweli ukiwekwa hadharani.
 
Kuna watu wanaamua kinachotrend hapa nchini. Ni kati ya maeneo ambayo Tanzania tuko vizuri sana kuanzia chini kwenda juu. Hivyo wapinzani wanageuzwa geuzwa kama chapati.
Kama kuweka uovu wa magu ni wapinzani kugeuzwageuzwa kama chapati, acha iwe hivyo.
 
Nani amewahi kuja na evidence kwamba ovu fulani amefanya hayati JPM? Na kama hakufanya JPM, nani alifanya? Je, waliofanya wamefariki?
 
Uko sahihi, kama yanaweza kufanywa na mtu yeyote, mbona hakukuwa na uchunguzi ili huyo yoyote afahamike? Mfano mrahisi pesa zaliporwa na watu waliokuwa wamevalia kijeshi kwenye bureau de change, mbona hakukuwa na uchunguzi? Naona unataka kutetea mtu muovu kwa maelezo ya bei rahisi. Kama ulifaidika na uovu wake, vumilia ukweli ukiwekwa hadharani.
Kuna independent offices za kushughulikia hayo. Mbona sasa JPM hayupo na hawafanyi huo uchunguzi?
Wapinzani msipojua your real enemy, mtaendelea kubaki hapo hapo.
 
Mifumo ilishaharibika na yeye ndio ilikuwa sababu. Hawana haja ya kufanya uchunguzi maana aliyetenda hayo mnasema amekufa hawezi kujitetea. Inawezekana kweli wapinzani hawajuia adui yao halisi, lakini bado Magu hakuwa rafiki yao zaidi ya kuwafanyia uadui wa wazi.
 
Kuteka na kuwapoteza wapinzani ndo ilikuwa desturi ya utawala wa Jpm.
Wengine aliwanunua kabisa.
 
Mifumo ilishaharibika na yeye ndio ilikuwa sababu. Hawana haja ya kufanya uchunguzi maana aliyetenda hayo mnasema amekufa hawezi kujitetea. Inawezekana kweli wapinzani hawajuia adui yao halisi, lakini bado Magu hakuwa rafiki yao zaidi ya kuwafanyia uadui wa wazi.
Atleast umewaza nje ya box
 
Kuna watu wanaamua kinachotrend hapa nchini. Ni kati ya maeneo ambayo Tanzania tuko vizuri sana kuanzia chini kwenda juu. Hivyo wapinzani wanageuzwa geuzwa kama chapati.
Hakika
 
Back
Top Bottom