William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Uh king mbona mi ndio nmekua wa kwanza kuuliza King
King unakubalikA sana na mambulula hapa mjini umewezAje? Mtundu sana King wewe
Huyu baba Leona au lemutuz ana matatizo sana kufikiria vitu ambavyo havipo hasa vikiwa vya ukweli, unafikiri neema na u busy wote pale UN atakuwa na time na kubishana na mtu aliyempiga kibuti mwenyewe jamani, mtu ambaye miaka zaidi ya 25 ya maidha yake US alikuwa ni mfanyakazi wa gari la taka haha, mtu ambaye baada ya kuchoka kulazwa kwenye sofa sitting room ndio akaamua kukimbilia kwenye kiservant quarter cha baba yake pale seaview haha, mtu ambaye baada ya miaka 3o ya kukaa ulaya bado anakaa kwenye kijumba cha msajili cha chumba kimoja na kodi haizidi hata sh50000 haha, kwa taarifa yako lemutuz mimi naishi hapa hapa bongo na ni mtu wa karibu yako sana ila najua mambo yako mengi personal na wala sina uhusiano wa kindugu na xwife wako so acha kumpakazia uongo, kama Neema unamuita kibibi cha miaka hamsini na wrwe na yeye umempita miaka kumi inamaana kwa simple mathematics tayari umegota 60yrs haha, unakumbuka ulianza kupanda meli za sinota kuanzia 1970 na kitu ambapo ulikuwa na zaidi ya miaka 20 inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa kikongwe haha, na kukuthibitishia nakujua vizuri unakumbuka ulivyogombana na wachina melini hadi wakataka kukushusha Singapore lakini wasingapore wakawakatalia wachina ukaenda kushushwa Thailand na ukaleta vurugu hadi wakakulipa pesa zako haha bisha kama ni uongo nilete mambo mengine.Neema anaenjoy life New york ndani ya UN na huku watoto wakimuita yeye ndio baba na mama yao kwa jinsi wanavyompenda na kuweza kumpeleka Agapeo college bila msaada wako wewe kazi kubishana tu na watoto, unakumbuka watoto walivyokukataa walivyokuja bongo hadi ujalia kwenye gari lako pale ukonga haha na bado watakuliza sana sababu wameshakutoa kwenye maisha yao, bora uoe tu machangudoa yako ya escape one wakuzalie watoto wa uzeeni kama mengi haha, siku hizi hao masuper billionaires wako hawakualiki majumbani mwao sababu washatambua kama wewe kuwadi number moja wa wanaume zao kama mke wa Davis mosha asivyokupenda na kwake kakupiga marufuku kukanyaga basi hata mke wa chicago pia hakupendi pamoja na wa marehem seki ambaye ndio anaongoza kwa kukulaumu kwa wewe kumkuwadia mune wake kwa lulu haha, kuwa makini hawa wake za watu ni watoto wa mjini na wana hela chafu so sasa wanaorganize watu wa kukupiga mtungo ili iwe fundisho kwa babu mzee kama wewe kuliwa tigo na vijana wadogo itakuwa aibu yako ya milelele haha babu pole yako utasutwa na majivu.
- hahahahahah saafi sana unakubali kwamba I am The King Of All Bongo Social Media Network AKILI KUBWA SANA hahahahaah thank you huyu mama ananisaidia sana kuniongezea umaarufu hahahaha Imagine mimi hapa mjini niwe na girlfriend mwenye miaka 50 si watu wote watashangaa hahahahahaha watasema nimefuatana na Shangazi yangu au what? hahahahahahah U know
Le Mutuz
- hahahahahah saafi sana unakubali kwamba I am The King Of All Bongo Social Media Network AKILI KUBWA SANA hahahahaah thank you huyu mama ananisaidia sana kuniongezea umaarufu hahahaha Imagine mimi hapa mjini niwe na girlfriend mwenye miaka 50 si watu wote watashangaa hahahahahaha watasema nimefuatana na Shangazi yangu au what? hahahahahahah U know
Le Mutuz
Nimekupenda Bureee....
Mzee w mabebezzz super bilionea w jf hizi tuhuma nzito sana kwanini usisomeshe watoto wako mwenyewe umesema unalipwa 150thou kwa tangazo haya mambo y kuja kupigwa z vichwa unasomeshewa watoto ni aibu sana,pia hiyo nyumba yko hata kwa picha inaonekana ina more than 20yrz haijakamilika ongea n mabilionea wenzako wakupe hela umalizie.
Pia kaa na watoto muongee myamalize mana ndio familia yko n damu yko hiyo mwanaume ni majukumu c kubwelambwela tu hpa jf
Ni shideeer m2 mzima unapewa z uso hivi halafu zinaukweli hpo bilionea anajikaza tu kujibu ila presha iko juu
Kama ni kweli una akili kubwa, kaa kimya jibu tuu pale inapokubidi. Unavyozidi kujibu kwa kupaniki ndio unajiweka uchi zaidi.
Wewe watoto wako watalipwaje pesa yako ya retirement yako or pesa gani r u talking about maana naona unafanya watu wajinga wewe babu?
- Watoto wangu ni Wamarekani hawahitaji msaada wowote Sheria ya USA ipo very clear Watoto wa single Mother wanalipiwa na Serikali kama wana uwezo wa kusoma, nimefanya kazi USA miaka 25 kampuni moja kuna pesa kibao nilizokuwa ninakatwa kwenye mshahara wangu ambazo wanapewa automatially,
- Pole sana unaonekana ulidhani sasa umenipata hapana ni AKILI KUBWA huyo mama ni yeye mwenyewe ameamua kuwa na mume wa mtu anayeishi hapa bongo na yeye anamtumia tiketi ya kwenda na kurudi hayo ni maisha yake hayanihusu, naumonea huruma sana maana JF haitaweza kumsaidia mimi unanijua kwangu utapata majibu tu ndio maana nilipokuwa kwenye ndoa nilikuwa ninaenda shule yeye analala usingizi tu unaona sasa akili ndogo anataka kushindana na AKILI KUBWA hahahahahahaha,
-Sihitaji kukaa chini na mtu yoyote ameamua kuyaleta JF nitamalizana naye hapa hapa JF cause I love this hahahahahah U know
Le Mutuz
Duuh mazito haya
Sawa mmeachana ila kuachana sio uadui kwanini aseme watoto analipia yeye n wewe hujawahi kukana hilo istoshe yeye anafanya kazi UN unaposema alikua analala wkti wewe ukisoma c ukweli.le bilionea la jf malizia nyumba unajenga nyumba miaka 20 imekua mnara w babeli,inaonekana huyu case anakujua sana mpka anasema mke w bilionea kakupiga marufuku kwake hili nalo linahitaki kuangaliwa.
Mimi naona kuachana c ugomvi na uadui mana mna watoto nae hamuwezi kua paka n mbwa mnajenge nini kwa watoto wenu.
Watoto w karne hii wanajua sana kuchuja mambo angalia utendayo weka chuki n mfarakano wenu pembeni mlee watoto wenu kwa furaha
Great minds discuss ideas; average
minds discuss events; small minds
discuss people.
Hahh le mutuz King of all Bongo Social media much respect kwako brother watachoka tu wenyewe
Kwahiyo x wako na watoto wapo welfare? That's very sad man
- Hafanyi kazi UN anafanya kazi as a local staff ubalozini so rekebisha hilo pale kazini kwake ni mtu mdogo sana na wa kawaida sana, tuliachana miaka 4 iliyopita nasema hivi mimi nilikuwa ninafanya kazi masaa 16 kwa siku na ninaenda na shule yeye hakwenda ndio matokeo yake haya hakuna aliyemkataza,
- Nyumba ni yangu haimuhusu na yenyewe alishaitangaza kuwa ni yake mpaka nilipata hati yake ndio siku hizi amebadili kauli kuwa ni yangu kuimaliza au kutoimaliza ni uamuzi wangu mwenye nyumba sio yake yeye alijaribu kubadilisha jina iwe yake kwa siri akashindwa hahahahahahah
- Kuhusu ujinga wa mke wa bilionea ni utoto sana hata kujadili hapa , huyo mama ameishi na mimi miaka 15 akashindwa kunielewa kwamba nilienda New York nikalala nje na kwenye vituo bya mabasi kutafuta maisha ambayo baadaye nilishia kumleta na yeye akawa na maisha akajidanganya na
wamarekani akaanza kujifanya Mmarekani akashindwa kuelewa kuwa ninaweza kurudi bongo na nikaanza upya na kuwa nilipo sasa hivi, hahahahaha hakutegemea ndio maana sasa analia lia na bado atalia sana mimi haniwezi ni AKILI KUBWA SANA wewe soma maneno yake na yangu uone tunavyopishana kwa uelewa na kufikiri maan, katumia watu kunitukana sasa yamesmhinda kaja mwenyewe,
- Mwambie aache kufuata fuata mabebez wangu kwenye inbox na kuwatumia sumu zake, angekazana na maisha yake aachane na mimi maana mimi ninasonga mbele, nyumba yangu inamuhusu vipi? hahahahahahahah
Le Mutuz
Aisee!