BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hahahaahaha jamaaa kani block haahahahah nafwaaaz yu know
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mannge atakinukisha sasa hivi, ona ssasa alivyosema
We baba unajiaibishaaaaaa Sasa hii ni degree???? ...nimechekaaaaaa Huyu Kweli Le mburulaz ... Tuseme cheti ni cha Kweli sio feki hii ni degree Sasa??? Kwa Marekani hii inaitwa associate degree Tena ya community college wala sio ya chuo kikuuuuu... Kwa bongo ni Sawa na advanced diploma. Sasa Ndo hi unawaambiaga watu una degree sijui ya criminology?? Degree ya Marekani unaichezea wewe?? degree ya Marekani unayo Unadhani ungekuwa unaendesha magari ya kunyonya mavi Marekani na ulivyopandishwa daraja ukaanza kuendesha magari ya Taka? Mtu mwenye degree ya mmarekani anaendesha gari za kuzoa Taka?? Jiheshimu we mzeeeeeee. Kwendraaaaaaa.. By the way vyeti is nothing watu wana vyeti vya Harvard na hawajui hata Harvard iko state gani? . Umeombwa graduation photos, Au Utuambie ndugu na marafiki waliokujaga kwenye graduation zako... au wewe mwenzetu vyeti ulipokeaga Posta???
Matango poriLeo nimecheka sana huko ista miaka yote lemutuz alikuwa akitulisha matango pori ati degree 3![]()
![]()
Nafwaaaaz hahahaha...
Huyu jamaa mbona kama anatumia nguvu nyingi kuaminisha watu
Kakutana na mzungu akamdanganya yeye ni francesco totti,sasa sijui alilipa na hela ya picha. daslam ni chuo kikuu
Nakukubali bwasheeeee- hahahahaha sijawahi kuficha wala kusema uongo ili kusoma Shule USA nilikuwa ninafanya kazi ya kuendesha Malori ya mizigo ndiyo iliyokuwa inalipa infact nilikuwa ninalipwa Mshahara mkubwa kuliko almost wabongo wote watafutaji New york, Mdada kwanza alisema nina Diploma tu ya Ubaharia hahahahahahaha sasa kabadilika hahahahahahah
- Nilitegemea atatoa ushahidi wa Majizo kuuza unga sijauona vipi ukimuuliza uko wapi? hahahahahahaha
le Mutuz
mangekimambi_Mzee vipi bio yako inasema unayo degree BS Marine engineering we baba una mchezo wewe engineering unaijua wewe? Unadhani ni rahisi Kama mabebez Ziko wapi hizo degree?? na Hiyo degree ya criminology iko wapi?? Au Ndo ile diploma ya police academy sijui ushuzi gani ndo Hiyo ulimaanisha bachelor of criminology- hahahahaha sijawahi kuficha wala kusema uongo ili kusoma Shule USA nilikuwa ninafanya kazi ya kuendesha Malori ya mizigo ndiyo iliyokuwa inalipa infact nilikuwa ninalipwa Mshahara mkubwa kuliko almost wabongo wote watafutaji New york, Mdada kwanza alisema nina Diploma tu ya Ubaharia hahahahahahaha sasa kabadilika hahahahahahah
- Nilitegemea atatoa ushahidi wa Majizo kuuza unga sijauona vipi ukimuuliza uko wapi? hahahahahahaha
le Mutuz