Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama watu wanamchukia zaid wanafurahia na kushangazwa na jinsi alivyo kwa maana anavyofanya iwe positive au negative havijazoeleka kwa watu wa umri wake hivyo ni burudani tosha wengi humu wanaojibishana nae wakikutana nae face to face watamwamkia kwa heshimaHonestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]- Ahsante kwa kuniongezea Followers na umaarufu, ila Wananchi wana matatizo ya Sukari na Umeme hahahahaha so hili endelea nalo ila ni none ishu kwangu but it is good for my Social Media business karibu sana hahahahahahahaha ila sitakujibu tena maana this is none ishu!!
le Mutuz Nation
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] my ribs swiss memwanamke acheke wewe ucheke du mzee wa shati kama shuka.
swissme
Eti eeeehlife is not about acting... it's all about one's definition.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...eti fransesco totti hahaahahaha my ribsimekuwaje hii picha yake na Francesco Totti ameiondoa kwenye instagram page yake?
So ndo nasikia kaonekana posta stationary na vyeti anatoa kopi sasa sjui anataka afanyeje baada ya mange kumkalia kooni u know hahahaabhatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Natafuta kazi le mutuz please nipo serious na mimi nahitaji kula bata.. Nicheki Pm
Insta iko katika meltdown- Le mutuz has finally met his match,Mange anakwenda toe to toe na le mutuz-credibility yake iko at stake data zinamwagwa like never before,mtu mzima is clinging on for dear life,anatumia lugha za mjini kukwepa makombora-Naona Mange ameamua kuchukua kwa nguvu taji la king/queen wa social networks bongohatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jeuri ya viagra utaijua tu.
Kuna ule wimbo wa harmowolper unaitwa natafuta kiki mzur sanaSiku hizi jamaa anaonekana sana pale The Chef Pride ananuliwa msosi na yule Mwarabu.... Tabia za Mwarabu zinajulikana... sidhani kama bonge la mtu lipo Salama..... Mabaharia wengi wanajulikana tabia zao... na jamaa over 50 babu hana single!!!
Sio kila mzungu anaitwa Francesco Totti we weka wazi kama ni kishtobe wako huyo pichani... Totti original amejicomit na AS Roma tu... Real Madrid hawajawahi kuwa nae... na Totti bado anasakata soccer AS Roma. Period
kwanini mara hufungi vifungo vya shati lako au unawewe unaonyesha six packs zako au dar kijoto??
- Hizi ni batazzz za Jumapili juzi na Wabebezzz Wakareezzz U know at downtown hahahahahaha ama nene? hahahahahaha kijana mdogo hebu safisha macho hapo kidogo halafu piga kazi ule batazzz na hawa wabebezzz wa ukweli U know uwachane na kulia lia huku JF hahahahahahaa KURA MAISHA U KNOW
le Mutuz Nation