Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
Oldness' is a state of mind....

Live your life bro.

Sema hapo kwa Totti, umepiga nnje.
 
imekuwaje hii picha yake na Francesco Totti ameiondoa kwenye instagram page yake?
 
Honestly, am very much inspired by the spirit this man shows.
Regardless how bad people talk about him, he keeps on doing his things, he keeps on moving, he keeps on getting busy with his business...
Sidhani kama watu wanamchukia zaid wanafurahia na kushangazwa na jinsi alivyo kwa maana anavyofanya iwe positive au negative havijazoeleka kwa watu wa umri wake hivyo ni burudani tosha wengi humu wanaojibishana nae wakikutana nae face to face watamwamkia kwa heshima
 
ImageUploadedByJamiiForums1464773417.779367.jpg
hahahaha
 
- Ahsante kwa kuniongezea Followers na umaarufu, ila Wananchi wana matatizo ya Sukari na Umeme hahahahaha so hili endelea nalo ila ni none ishu kwangu but it is good for my Social Media business karibu sana hahahahahahahaha ila sitakujibu tena maana this is none ishu!!

le Mutuz Nation
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
 
Natafuta kazi le mutuz please nipo serious na mimi nahitaji kula bata.. Nicheki Pm
 
hatari! naona kuna mtu ameambiwa aonyeshe hadharani vyeti vyake vya degree 3 alizonazo
Insta iko katika meltdown- Le mutuz has finally met his match,Mange anakwenda toe to toe na le mutuz-credibility yake iko at stake data zinamwagwa like never before,mtu mzima is clinging on for dear life,anatumia lugha za mjini kukwepa makombora-Naona Mange ameamua kuchukua kwa nguvu taji la king/queen wa social networks bongo
 
Siku hizi jamaa anaonekana sana pale The Chef Pride ananuliwa msosi na yule Mwarabu.... Tabia za Mwarabu zinajulikana... sidhani kama bonge la mtu lipo Salama..... Mabaharia wengi wanajulikana tabia zao... na jamaa over 50 babu hana single!!!

Sio kila mzungu anaitwa Francesco Totti we weka wazi kama ni kishtobe wako huyo pichani... Totti original amejicomit na AS Roma tu... Real Madrid hawajawahi kuwa nae... na Totti bado anasakata soccer AS Roma. Period
Kuna ule wimbo wa harmowolper unaitwa natafuta kiki mzur sana
 
On second thoughts huyu Mange alikosea sana kutokuja opposition,huyu ni catylist ya change-just imagine angekuwa mbunge wa opposition na hizi cheche anazomwaga ingekuwa hatari. One thing about her ni anamwaga hard facts
 


- Hizi ni batazzz za Jumapili juzi na Wabebezzz Wakareezzz U know at downtown hahahahahaha ama nene? hahahahahaha kijana mdogo hebu safisha macho hapo kidogo halafu piga kazi ule batazzz na hawa wabebezzz wa ukweli U know uwachane na kulia lia huku JF hahahahahahaa KURA MAISHA U KNOW

le Mutuz Nation
kwanini mara hufungi vifungo vya shati lako au unawewe unaonyesha six packs zako au dar kijoto??
 
Hahaha huyu jamaa anaishi maisha swafi sana. Ukianza kuleta stress nchi kama hii utajifia mapema u know.. Tafuta pesa kula bataz na bebez u know!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom