brownjosephati
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 616
- 758
Mbowe ana Roho mbaya sana tokea Lisu apelekwe jela hujawahi kwenda kumuona jela au hata kwenda mahakamani kinafiki tu,Hoja yako ni ipi hasa? Kwa akili za kichawa unadhani umeleta hoja/mada mpya haoa jf wakati wenzako walishaiandika miaka na miaka.
Mbowe ana Roho mbaya sana tokea Lisu apelekwe jela hujawahi kwenda kumuona jela au hata kwenda mahakamani kinafiki
Hii ni bangi ya wapi?KURA ZOTE-TWENDE NA MAMA 2025-30
ubongo wako uko hivi kama vifuu vya naziKama ulikua hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE wacha nikufahamishe:-
Watu wengi hudhani familia ya MBOWE na familia ya MWALIMU NYERERE ni maadui,
Kwasababu tu kuwa FREEMAN MBOWE ni mpinzani sio kweli,
Familia hizi ni familia marafiki sana tokea enzi za MWALIMU NYERERE mpaka leo ninavyokuletea makala hii,
Na zina heshimiana sana lakini pia usichokijua ni kwamba,
FREEMAN MBOWE humchukulia MWALIMU NYERERE kama baba yake,
Siyo kwamba humchukulia kama baba kwasababu,
MWALIMU NYERERE ni BABA YETU WA TAIFA tu hapana,
Humchukulia kama baba yake kwasasababu ya urafiki mkubwa,
Uliokuwepo kati ya baba yake mzazi na MWALIMU NYERERE,
Unae muona hapo chini anae peana mikono na mwalimu NYERERE,
Ni baba yake mzazi na FREEMAN MBOWE,
Kwa wale musiomjua huyu ndio baba yake mzazi kabisa FREEMAN MBOWE,
Kwa jina anaitwa AIKAEL ALFAYO MBOWE,
Picha hii ilipigwa huko mkoani KILIMANJARO,
Wakati MWALIMU NYERERE alipokuwa anafanya ziara mkoani humo,
Mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE alikuwa ni tajiri mkubwa mkoani KILIMANJARO,
Aliyetoa mchango wa kipekee kwa chama cha TANU,
Ikiwemo kuwashawishi na kuwaingiza wananchi wa ARUSHA na KILIMANJARO,
Kwenye chama cha TANU wakiwemo machifu,
Kiufupi mzee MBOWE ni moja ya wapigania uhuru wakubwa hapa nchini,
Kutokana na kitendo hicho MWALIMU NYERERE,
Alimpenda sana mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE,
Hatimae wakawa marafiki wakubwa wakati wa uhai wao,
Na ilifika hatua mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE,
Akawa akitaka kwenda IKULU anaenda muda wowote,
Kumuona NWALIMU NYERERE na kuzungumza nae,
Mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE ndio mzee aliekwenda IKULU,
Mara nyingi zaidi kuliko mzee yoyote enzi za mwalimu NYERERE akiwa IKULU,
Na mara nyingi alipokua akienda alikua anaenda na mwanawe aitwae FREEMAN MBOWE,
Na hapo ndipo ilipozuka dhana kuwa FREEMAN MBOWE amelelewa IKULU,
Kwasababu FREEMAN MBOWE hajaanza juzi kwenda IKULU,
Ameanza kwenda IKULU tangu akiwa mdogo,
Na urafiki wa mwalimu NYERERE na mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE,
Ulisababisha hata familia zao ziwe na urafiki wakubwa,
Kama ulikua hujui ni kwamba FREEMAN MBOWE na MAKONGORO NYERERE,
Wamecheza pamoja mara nyingi sana wakiwa wadogo,
Kwasababu mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE kama nilivyosema hapo juu kuwa alikua rafiki mkubwa wa NYERERE,
Na kwa kuthibitisha hilo kuwa familia hizi zina urafiki mkubwa,
Mwezi Octoba mwaka 1983 mtoto wa mwalimu NYERERE aitwae MAKONGORO NYERERE alipotaka kuoa,
Aliempelekea barua ya posa MAKONGORO NYERERE ni mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE,
Huyu ndie alikua mshenga katika ndoa yake,
Mzee AIKAEL ALFAYO MBOWE alifanya hivyo,
Baada ya kuombwa na MWALIMU NYERERE kufanya hivyo kama rafiki yake,
Hatimae ndoa kati ya MAKONGORO NYERERE na mkewe aitwae AISHA ikafungwa,
Mke wa MAKONGORO NYERERE kitaaluma,
Yeye ni mwanasheria na kwasasa mkewe ni JAJI,
Na kitu chengine usicho kijua ni kwamba,
Wakati FREEMAN MBOWE anabatizwa tarehe 9/12/1961,
Siku ambayo uhuru wa nchi hii ulipatikana,
Aliekuwa baba wa ubatizo wa FREEMAN MBOWE siku hiyo,
Alikua ni MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE,
Na jina la FREEMAN mtu aliechagua jina hilo,
Siyo mwengine ni MWALIMU NYERERE.
Makala hii imeletwa kwenu ✍️✍️
KURA ZOTE-TWENDE NA MAMA 2025-30
ubongo wako uko hivi kama vifuu vya nazi View attachment 3365223
Maelezo marefu haiondoi Ukora alionaoKama ulikua hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE wacha nikufahamishe:-