Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400.
Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi kama malaika. Akafanya matendo makuu ya bomoa bomoa kimara bila fidia, akapora fedha za wafanyabishara za Bureu De Change, maelfu ya wafanyakazi wakakosa ajira. Mpaka leo Magufuli hajatoa riporti kwa umma kuwa ni pesa kiasi gani alichukua?
Mwaka 2019, Magufuli akaingilia tena na Sukari ikapanda, sasa sukari ni 2600 hadi 2800 Tshs
Molemo Sky Eclat Erythrocyte GENTAMYCINE
Ukiangalia mikoa Pwani, Kibaha, Chalinze, etc...Sukari ni muhimu na kipato ni kidogo.
Angalia sukari ya Malawi, Brazil, Thailand ni rahisi kuliko ya Tanzania. Why..Mfumo wa kodi ni mbovu
Burundi na Rwanda kuagiza gari ni rahisi zaidi kuliko Tanzania, wakati magari yao yanapita bandari ya Dar es salaam.
Pia ukiangalia Ngome za CCM Chalinze, Morogoro Dodoma, Shinyanga, .., nyumba za tembe ni nyingi...Gharama za ujenzi ni kubwa mno. Cementi ni ghali sana... Hakuna sababu cementi kuwa ghali sana. Maana ni mali ghafi ya hapa hapa nchini...Mfano, Mtu akiagiza Cementi Pakistani, anakuja kuuza bei chini kuliko Simba au Twiga Cementi. Bado cement ya nje kuna usafirishaji, kodi ya taifa lao na VAT ya Tanzania. Kama alivyosema Mh. Tundu Lisu, kuna tatizo TRA....