Ukata mifukoni mwa Watanzania na Bei ya Sukari, Cementi kupanda maradufu

Ukata mifukoni mwa Watanzania na Bei ya Sukari, Cementi kupanda maradufu

Hizo ni kauli za wanasiasa kila siku..hata 2015 mbowe alizungumza sana hayo.
Yes lakini mzee kwa miaka kadhaa ijayo pana giza totoro hasa kwa watumishi wa umma!

Kama sheria ya kibabe (inayohusu mifuko ya hifadhi ya jamii) ikipitishwa kama inavyotarajiwa,basi maana ya kuandaa kundi la wastaafu masiki wa kutupwa ndipo itakapodhihirika!

Wanasiasa wetu Wana roho mbaya sana, inawezekanaje wao wachukue pesa zao kila baada ya miaka 5,lakini mtu anayefanya kazi kwa kampuni fulani, hawezi kuchukua pesa yake hata akiachishwa kazi leo, atasubiri afikishe miaka 60!
 
Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400.

Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi kama malaika
. Akafanya matendo makuu ya bomoa bomoa kimara bila fidia, akapora fedha za wafanyabishara za Bureu De Change, maelfu ya wafanyakazi wakakosa ajira. Mpaka leo Magufuli hajatoa riporti kwa umma kuwa ni pesa kiasi gani alichukua?

Mwaka 2019, Magufuli akaingilia tena na Sukari ikapanda, sasa sukari ni 2600 hadi 2800 Tshs

Molemo Sky Eclat Erythrocyte GENTAMYCINE

Ukiangalia mikoa Pwani, Kibaha, Chalinze, etc...Sukari ni muhimu na kipato ni kidogo.

Angalia sukari ya Malawi, Brazil, Thailand ni rahisi kuliko ya Tanzania. Why..Mfumo wa kodi ni mbovu

Burundi na Rwanda kuagiza gari ni rahisi zaidi kuliko Tanzania, wakati magari yao yanapita bandari ya Dar es salaam.

Pia ukiangalia Ngome za CCM Chalinze, Morogoro Dodoma, Shinyanga, .., nyumba za tembe ni nyingi...Gharama za ujenzi ni kubwa mno. Cementi ni ghali sana... Hakuna sababu cementi kuwa ghali sana. Maana ni mali ghafi ya hapa hapa nchini...Mfano, Mtu akiagiza Cementi Pakistani, anakuja kuuza bei chini kuliko Simba au Twiga Cementi. Bado cement ya nje kuna usafirishaji, kodi ya taifa lao na VAT ya Tanzania. Kama alivyosema Mh. Tundu Lisu, kuna tatizo TRA....
Huyu mzee aondoke tu amewapotezea muda watanzania.
 
Yes lakini mzee kwa miaka kadhaa ijayo pana giza totoro hasa kwa watumishi wa umma!

Kama sheria ya kibabe (inayohusu mifuko ya hifadhi ya jamii) ikipitishwa kama inavyotarajiwa,basi maana ya kuandaa kundi la wastaafu masiki wa kutupwa ndipo itakapodhihirika!

Wanasiasa wetu Wana roho mbaya sana, inawezekanaje wao wachukue pesa zao kila baada ya miaka 5,lakini mtu anayefanya kazi kwa kampuni fulani, hawezi kuchukua pesa yake hata akiachishwa kazi leo, atasubiri afikishe miaka 60!
Mtu ambaye hawezi kuongeza ajira kwa miaka mitano yote. Kipi anachoweza kukifanya kimpe uhalali wa kuendeleola kuwa rais?? He is a total failed president.
 
Mtu ambaye hawezi kuongeza ajira kwa miaka mitano yote. Kipi anachoweza kukifanya kimpe uhalali wa kuendeleola kuwa rais?? He is a total failed president.

Serikali imefilisi mifuko ya jamii. PSSSF NA NSSF.

Watu wanapigwa Tarehe miezi 4 mpaka 6

Pesa umeenda wapi?

Mfanyakazi unamwambia Pesa yake umepeleka wapi usimlipe kwa wakati?
 
Mkuu usimpe lawama mpango wala kumtupia zigo la Mavi shida inajulikana ni yule wa juu nae ni JIWE.
Kutokana na hali ya uchumi ilivyo, sitarajii CCM warudie kosa kumrudisha Dr. Mpango kuendelea kuwa Waziri wa Fedha tena, lakini hata wizara yote inahitaji mabadiliko, tujifunze kutafuta na kupata watu wenye majibu ya changamoto zinazotukabili, kuwa Profesa wa uchumi siyo lazima una uwezo na ujuzi kutatua matatizo ya uchumi yanapotokea..viwango vya kodi Tanzania viko juu sana, wakati idadi ya walipa kodi ni ndogo..sekta isiyo rasmi ni kubwa sana na wizara ya fedha hawana majibu ya kurasimisha sekta isiyo rasmi ili nayo ilipe kodi..kama hawawezi kutatua changamoto hizi wako hapo wizarani kufanya nini?? tuajiri watu kwa performance siyo vyeti..
 
Sawa tufanye shida ni Mpango je,Rais alichukua hatua gani?
Hapana! mwenye kupendekeza sera zibadilike ni nani? Lini ulimuona waziri wa fedha analalamika, na analalamika juu ya nini? ili viwango vya kodi vipungue ama ni kuongeza idadi ya walipa kodi au thamani ya shughuli za kiuchumi iongezeke..Mpango hajawahi toka ateuliwe kuongea na watanzania juu ya mambo mbali mbali ya wizara yake licha ya lawama nyingi za watanzania kuwa pesa hakuna na maisha ni magumu..si wajibu wa Rais kutoa maelezo kwa nini pesa ni ngumu kupatikana sasa hivi, au kwa nini tatizo la ajira ni kubwa sana kwa sasa..haya ni maswali kwa waziri wa fedha kujibu!
 
Back
Top Bottom