Ukata mifukoni mwa Watanzania na Bei ya Sukari, Cementi kupanda maradufu

Hizo ni kauli za wanasiasa kila siku..hata 2015 mbowe alizungumza sana hayo.
Yes lakini mzee kwa miaka kadhaa ijayo pana giza totoro hasa kwa watumishi wa umma!

Kama sheria ya kibabe (inayohusu mifuko ya hifadhi ya jamii) ikipitishwa kama inavyotarajiwa,basi maana ya kuandaa kundi la wastaafu masiki wa kutupwa ndipo itakapodhihirika!

Wanasiasa wetu Wana roho mbaya sana, inawezekanaje wao wachukue pesa zao kila baada ya miaka 5,lakini mtu anayefanya kazi kwa kampuni fulani, hawezi kuchukua pesa yake hata akiachishwa kazi leo, atasubiri afikishe miaka 60!
 
Huyu mzee aondoke tu amewapotezea muda watanzania.
 
Mtu ambaye hawezi kuongeza ajira kwa miaka mitano yote. Kipi anachoweza kukifanya kimpe uhalali wa kuendeleola kuwa rais?? He is a total failed president.
 
Mtu ambaye hawezi kuongeza ajira kwa miaka mitano yote. Kipi anachoweza kukifanya kimpe uhalali wa kuendeleola kuwa rais?? He is a total failed president.

Serikali imefilisi mifuko ya jamii. PSSSF NA NSSF.

Watu wanapigwa Tarehe miezi 4 mpaka 6

Pesa umeenda wapi?

Mfanyakazi unamwambia Pesa yake umepeleka wapi usimlipe kwa wakati?
 
Mkuu usimpe lawama mpango wala kumtupia zigo la Mavi shida inajulikana ni yule wa juu nae ni JIWE.
 
Sawa tufanye shida ni Mpango je,Rais alichukua hatua gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…