Onana mfungaji bora na mvp unamuachaje?Wangekuwa na pesa wangeenda kununua Miqquisone na Adebayor.
Badala yake wameleeka Kramo na Esomba Onana.
[emoji23][emoji23]
Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi
Unabishana na mtu anamung'unya pipi kijiti?Utachoka.Iyo kidogo kidogo umeitoa wapi?
Hili bwege nataraji limeelewa.Ujinga ni maradhi.We zuzu, Onyango ndiye aliyeomba kuondoka. Umeona wapi mtu anayeomba kuvunja mkataba analipwa?!
Beleive me indeed!!!ππππ kiingereza cha kuungaunga.Beleive me!