Ukata ndani ya Simba SC washindwa kuvunja Mkataba wa Mwaka 1 wa Joash Onyango

Ukata ndani ya Simba SC washindwa kuvunja Mkataba wa Mwaka 1 wa Joash Onyango

Kwani alieyetaka kuvunja mkataba ni simba au onyango mwenyewe? Ninachojua onyango ndiye aliomba kuvunja mkataba sasa hapo nani anatakiwa kulipa? Wenye akili kumbe ni wale wale wawili
 
Wangekuwa na pesa wangeenda kununua Miqquisone na Adebayor.

Badala yake wameleeka Kramo na Esomba Onana.

[emoji23][emoji23]
Onana mfungaji bora na mvp unamuachaje?
Adebayor huyu sio yule tena kiwango kimeshuka sana,alkaikadhalika na Mequisone pia kakaa sana benchi kiwango kimeshuka sio yule tunae mjua.

Unashughulika kwanza na wachezajj walio kwenye pick nzuri kisha hao wengine wakuja kupandisha kiwango baadae.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Acha upuuzi sawadogo mmemlipa pesa yake ipi? Usikurupuke kuongea kitu usichokijua, sawadogo atakuwa analipwa pesa yake kidogo kidogo kwa makubaliano maalum, acha wenge milioni 700 cash mngezinyea wapi

Iyo kidogo kidogo umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom