RAYMOND TULI
Member
- Jan 19, 2013
- 11
- 7
Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku chache lakin mbali na hilo chuo kitaanza masomo kabla loan board hawajatoa acommodation hivi mwanafunzi atahuzulia vipi vipindi,hebu fikilia tangu disemba mosi umepata acommodation mpaka leo pengine mwezi ujao ndio upate hapa katikati unafanyaje? au ndo biashara za .....? na kugeuka uanafunzi na kukaba watu? jamani hebu tuzungumze haya mpo hapo wanachuo wenzangu kokote mlipo na wengine wote wadau wa elimu.