Ukata ni hatari katika elimu vyuo vikuu

Ukata ni hatari katika elimu vyuo vikuu

RAYMOND TULI

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
11
Reaction score
7
Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku chache lakin mbali na hilo chuo kitaanza masomo kabla loan board hawajatoa acommodation hivi mwanafunzi atahuzulia vipi vipindi,hebu fikilia tangu disemba mosi umepata acommodation mpaka leo pengine mwezi ujao ndio upate hapa katikati unafanyaje? au ndo biashara za .....? na kugeuka uanafunzi na kukaba watu? jamani hebu tuzungumze haya mpo hapo wanachuo wenzangu kokote mlipo na wengine wote wadau wa elimu.
 
je accomodation na meals ni haki yako ya kikatiba?????je......? Niishie hapo
 
Kweli huwa ni balaa ila chuo hawana makosa bali loan board maana chuo hukimbizana na kalenda waliyopanga.Poleni wanafunzi kutokana na ubabaishaji wa serikali ya CCM
 
wanafunzi nyinyi mnamatumizi mabaya ya fedha,hizo fedha hamkupewa ili mkanunue vimini,kutengeneza nywele za ghalama na ujinga mwingi mnaofanya na wakaka mnajifanya mnajua sana kutongoza na kuhonga hivyo vihela vya bodi then mkiishiwa mnarudi kutafuta huruma ya wananchi,acheni uujinga someni ebooo!!!!
 
Hebu fikili ndugu yangu yangu katika kipindi hiki cha likizo ya siku chache ambayo haiwezi kukufanya mtu unae toka hata kilomita 100 nje ya barabara kuu huwezi kudi nyumbani kwa sababuni siku chache .

... ndiyo maana Nyerere aliwasomesha wachache kulingana na uwezo na kuwahudumia fully.
 
Akili bila maarifa iyo akili ni mfu. HAKI HAIOMBWI....Hamjatambua hilo mnaojiita wasomi!?
 
Ukilaumu serikali ukumbuke kumlaumu na mzazi wako kwa kushindwa kukuandalia mazingira mazuri ya kusoma na iwe changamoto kwako "mwisho wa kufikiri kwako ndo mwanzo wa matatizo yako" jipangeeni.
 
wanafunzi nyinyi mnamatumizi mabaya ya fedha,hizo fedha hamkupewa ili mkanunue vimini,kutengeneza nywele za ghalama na ujinga mwingi mnaofanya na wakaka mnajifanya mnajua sana kutongoza na kuhonga hivyo vihela vya bodi then mkiishiwa mnarudi kutafuta huruma ya wananchi,acheni uujinga someni ebooo!!!!

Boom lina inflation dia usiwalaumu kama unabisha chunguza mshahara unavyopwaya yaani HAUTOSHI.
 
Back
Top Bottom