P J O
Senior Member
- May 3, 2024
- 189
- 264
Hali ya WAKAZI ya Airport ni Mbaya. Mkandarasi wa SGR wameweka uzio wa fensi ya Makali hivyo kuvuka kwenda airport wananchi hawawezi.
Barabara ya juu hawajamaliza lakini hata njia ambazo ndio wananchi wanategenea kuvuka zimefungwa kwa wire.
Ni unyanyasaji na ukandamizaji wa haki za msingi. Serikali imekaa kimya.