JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, unadhani kwanini Ukatili dhidi ya Wanawake Mitandaoni unazidi kukithiri?
Ni hatua gani Jamii inachukua kupambana na Ukatili huu?
Waathirika wanapata msaada gani ili kuendelea kutumia Mitandao hiyo hata baada ya kupitia ukatili?
Una maoni gani katika jambo hili?
Ili kupata nafasi ya kupaza sauti yako katika mjadala huu tafadhali jiunge nasi katika Mjadala wa TwitterSpace ya JamiiForums itakaofanyika tarehe 07/03/2023 kuanzia saa 12:00 jioni mpaka saa 02:00 usiku.
Pia, unaweza kuandika maoni yako kwenye uzi huu ambayo yatasomwa siku ya mjadala.
Karibuni.