Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Moronight walker

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2021
Posts
3,103
Reaction score
4,704
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya.

DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi zozote za kuzuia mauaji hayo. Hata mwezi uliopita watu waliuawa zaidi ya 100 eneo ya Kishishe na m23.

Sasa kuna mauaji wanaendelea sasa DRC yaliaanza mwaka 2017 mpaka sasa bado wanaendelea.
Ni watu wenye asili ya Tutsi wanaitwa Banyamulenge, wanauawa na kupigwa mpaka HURUMA.

Wacongo wao wanaamini hawa watu ndo chanzo cha matatizo yote huko congo. KINACHOENDELEA ni kuwafukuza na KUMWAMBIA warudi warudi Rwanda na asilimia kubwa ya hao watu wamezaliwa Congo ila walihamia miaka ya nyuma sana DRC kutoka Rwanda na baadhi Burundi.

20221227_184917.jpg

Huyo ni Doctor kauawa kinyama sana na alikaribia kufunga ndoa mpakani.

20221227_185100.jpg
20221227_185423.jpg

Na wengine still wanauawa
20221227_184926.jpg
 
Ni kitu cha kutosha sana na inasikitisha sana


Jumuiya za kimataifa HAWAJAFANYA Juhudi zozote za kuzuia .
 
Back
Top Bottom