Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Wanyamlenge hawana mfanano hata kidogo na watusi wala wahutu wala wakongo wenyewe...!

Ukioneshwa mnyamlenge una weza shtuka... kwa kuwa wao kwa muonekano wao na walipo ni tofauti...

Kama tunavyo washangaa waarab na wahindi au wazungu ktk jamii ya watu weusi...

Au wasomali ktk jamii ya waha au wachaga, wahaya...

Weka taarifa yako vyema,

Mimi nime washuhudia wanyamlenge katk kambi za wskimbizi kigoma, na nilipo pishana nao, nikaenda ofisini kuuliza, watu wenye muonekano fulani wakina nani? Wana fanya nini kambini? Nikajibiwa ni wanyamlenge, nikapata majibu sikuwa na swali tena

Waeleze vyema, hao waliopo pichani sio wanyamlenge ni tusi na kagame aliwataka warejee nyumbani...

Wamyamlenge kwao congo sio burundi wala rwanda

Rwanda na burundi kuna makabila mawili, wahutu na watusi na wana zungumza lugha moja ambayo ukienda burundi inaitwa kirundi, ukienda rwanda ina itwa kinyarwanda na ukienda kagera inaitwa kiangaza, pia ukienda kigoma inaitwa kiha...

Kongo kuna wabembe wamanyewa hao wanyamlenge na makabila mengine... hakuna watusi wala warundi, ukiwaona basi ni wavamizi...
 
Wanyamlenge hawana mfanano hata kidogo na watusi wala wahutu wala wakongo wenyewe...!

Ukioneshwa mnyamlenge una weza shtuka... kwa kuwa wao kwa muonekano wao na walipo ni tofauti...

Screenshot_20221227-210103_Google.jpg
Screenshot_20221227-210130_Chrome.jpg
 
Most Banyamulenge speak Kinyarwanda”, that they mix Kinyarwanda (official language of Rwanda) and some Kirundi (spoken primarily in Burundi)
Sasa mkuuwewe hujaelewa nini.

Nimehelezatangu mwanzo kuwa Banyamulenge ni watutsi kutoka rwanda na burundi.

Hapo juu kwa vile wanaasili ya kule lugha YAO ni mchanganyiko wa kinyarwanda na Burundi. Sasa nini hapo
 
Dah....kuna sehem hata kukaaa unaogopa sasa unyama km huu si balaa wanapiga binadam km wanapiga nyoka dah🥱
 
Back
Top Bottom