Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Lengo la hii habari ni nini? Kwamba tuamini wacongo wakorofi, tuwaonee huruma hao wanyamulenge au ni kutaka kutuaminisha watutsi na Rwanda sio chanzo chanzo cha mauaji na vita kupitia M23?
Upo sahii kaka Toka Kagame alipochukua madaraka Wahutu wengi wsmeuawa!!!!Pia Habriymana aliua Watusi wengi sana!!!Serikali ya Kigali ndio opareta wa dhahama yote hii North Kivu and South Kivu
 
Kaweza 1996
Kaweza 1998-2003
Kipi kitamzuia mara hii? Jeshi la DRC ni dhaifu sana.
Anaweza kuvamia na kuondoka sio kuweka territory!!!!Nata Tanzania kuna maeneo anadai ni ya Rwanda kaka 1996,1998, akiwa na Uganda na 2003 alikua anavamia na kuondoka!!!DRC kuna ugumu kupatawala labda kuiba mali na kuondoka kama walivyofanya Waganda
 
Kweli wanaoitwa wanyonge wakichoka ni balaa. Ni kweli EAC wameshindwa kutatua hii issue? Au wanasubiri genocide kama ya 1994?
 
Anaweza kuvamia na kuondoka sio kuweka territory!!!!Nata Tanzania kuna maeneo anadai ni ya Rwanda kaka 1996,1998, akiwa na Uganda na 2003 alikua anavamia na kuondoka!!!DRC kuna ugumu kupatawala labda kuiba mali na kuondoka kama walivyofanya Waganda
Aendelee kucheza na wakongo tu, huku ataishia kubweka tu kama mbwa Koko Alie mtaani kwao. Anajua kitachomkuta.
 
Hakuna mtutsi wa Karagwe, wewe ni mkimbizi.
Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?

Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?

Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?

Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga

Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
 
na hajawahi kuleta pua yake ndefu maana atafanywa hakuna na TZ
Nilikasirika sana siku ile ila sikua na jinsi!!!!Watanzania wapole sana kumtukana vile raisi ilikua ni kutuvunjia heshima!!!Kisa kikwete kamushauri kufanya mazungumzo na waasi wa FDR kama sikosei!!!Mbona yeye alipokua muasi Habyrimana alikubali kufanya nae mazungumzo
 
Africa ina Laana sana, wakubwa wanakula kiulaini maskini wanauwana kwa kukubali tu kuwa vibaraka na pikipiki posta za viongozi, huwezi sikia sijui waziri wala rais amevamiwa na kupigwa ila raia sasa wanachapana kipumbavu sana kisa ukabisa tu na ujinga ujinga wale wanaonyinya pakubwa wapo wametulia tu na familia zao,,,, kuna makitu yanaibia serikali kwa ufisadi wa kutosha mtaani yanaitwa maheshimiwa na hutakuja kusikia yamevamiwa ila kina mwijaku ndio wanakiona cha mtema kuni
Nilikasirika sana siku ile ila sikua na jinsi!!!!Watanzania wapole sana kumtukana vile raisi ilikua ni kutuvunjia heshima!!!Kisa kikwete kamushauri kufanya mazungumzo na waasi wa FDR kama sikosei!!!Mbona yeye alipokua muasi Habyrimana alikubali kufanya nae mazungumzo
Wa TZ wengi ambao walishawahi kwenda barabarani kusimama kupungia mkono mbio za mwenge nachelea kusema wana...io wa ubongo ni ma...ta grade A
 
Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?

Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?

Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?

Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga

Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Mimi babu zangu ni wa kitambo sana na hata lugha yao inashabihana na kinyankole na kihaya na kiganda asilimia kubwa!!Sizungumzii wahamiaji wa miaka ya 50,s na 60!!!!Mimi nazungumzia koo za kichifu za babu zangu walikua askari wa kukodiwa na machifu wengine kuiba mifugo na kupigana vita kabla hata mkoloni hajachora mipaka wala kufika!!!Hawa waliokimbia machafuko miaka ya1920,1940,1950 na 1960 walikuta babu zangu wapo karagwe zaidi ya miaka 400!!Ni kama Wamanyema wa kigoma au Watusi wa Kongo DRC wapo pande zote!!!!Umeelewa mdogo wangu
 
We sio mtutsi hamna mtusi kaua mhutu
Kusema mtutsi Kaiwa muhutu sio sahihi. Na kusema muhutu kauwa mtusi sio sahihi. Maneno hayo unamaanisha kuwa wahutu( all hutu society an all tutsi society wamehusitka kitu sio kweli)
Nafikili kusema sahihi ni interahamwe na Ex far waliuwa watutsi na moderate hutu.
Na RPA (tutsi forces) waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi pia.kama watutsi wa bagogwe na bisesero.
 
Back
Top Bottom