Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ushawahi kufika na kuishi Rwanda!!!Kujenga mji mbona hata Habriymana angekua hai angejenga!!!Hapa zinazungumziwa dhaama za serikali ya Kagame kwa Wahutu wa Rwanda hata ambao hawakushiriki genocide (1993-1994) baada ya yeye kuchukua madaraka!!!
Unamaanisha wahutu walipitia dhahama baada ya RPF kutwaa madaraka huko Rwanda ?....unasemea wahutu waliobakia Rwanda au waliokimbilia huko Drc ?

zitto junior Moronight walker mtu chake
 
Kuna makundi 120 ya waasi huko Drc, mengine yametoka Uganda (Adf,LRA).. mengine Rwanda (Fdlr)... mengine Burundi (Red Tabare).... mengine ni ya wenyeji wa Drc (maimai n.k)...ila kwanini Kagame pekee atupiwe lawama ?
Moronight walker
Kundi analofadhir, kwa ujinga wake anachanganya na askari wake na wanafanya ukatili pale wanapoona wanazuiwa kuchuma for him
 
Upo sahii hata wahema na walendu wanaweza kukusaidia kukueleza kwanini hali ipo hivyo kule North Kivu na South Kivu!!!!Usiwasikilize Watusi wa Mulenge peke yake
Mkuu matatizo ya Kivu mengi yameanza kitambo mno....ila tatizo limekuwa baya zaidi baada ya mauaji ya 1994 huko Rwanda yaliyosababisha maelfu ya wakimbizi wa kihutu kutimkia huko Drc na baadae Vita vilivyoanza toka mwaka 1996....Kuna chanzo kingine zaidi ya hiki ?
JokaKuu
 
Kagame its not evil ila vitendo vya serikali yake kwa Wahutu its evil deed!!!The same kwa Habriymana kwa Watusi those days it was evil deeds too
 
Hiyo vita ilikuwa waged na Kagame kwa nia ovu ya kuwanagamiza hao wakimbizi wake
 
kuwashughulikia hawa raia wa Congo wanaowatesa wenzao imenisikitisha sana.
Raia wa Congo wanaowatesa wanzao???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
 
Unamaanisha wahutu walipitia dhahama baada ya RPF kutwaa madaraka huko Rwanda ?....unasemea wahutu waliobakia Rwanda au waliokimbilia huko Drc ?

zitto junior Moronight walker mtu chake
Wote waliobakia Rwanda na waliokimbilia DRC but wale waliokuja Tanzania at least walisalimika kwa kiasi flani!!!RPF walipochukua madaraka wamelipa sana visasi lakini sio kwa kiwango kile cha genocide ya 1993-1994
 
Kingine chuki tu za kikabila pande zote mbili mkuu
 
Rwanda na Karibuni itakuwa superpower ya EA
Unaelewa maana ya superpower mkuu.
KENYA NDIO SUPERPOWER WA EAST AFRICA KAKA .
KENYA IMEIZIDI RWANDA ZAIDI YA MARA KUMI.
KENYA NDIO SUPER POWER MKUU USICHANGANYE..
KIGALI UWEZI FANANISHA NA JIJI LA KINSHASA AU NAIROBI.
TOFAUTI YA KIGALI NA MIJI MINGINE KAMA DAR ES SALAAM NI USAFI TUU.
MIJI MINGINE NI UCHAFU KWENDA MBELE.
ILA KIGALI SEHEMU KUBWA NI KUSAFI THAT IS TRUE.
HUWEZI FANANISHA NA KINSHASA JIJI LENYE WATU MILLION 15. NA KIGALI JIJI LENYE WATU 1.3MILLION.
NAIROBI KUNA WATU ZAIDI YA 5 MILLION.
MK254
MSAIDIE KUHUSU RWANDA KUJA KUIKUTA KENYA ITAKUWA LINI.
MAANA KENYA GDP NI ZAIDI YA $ BILLION 111 NA RWANDA NI 11 BILLION $.
- KENYA IPO JUU EAST AFRICA KAKA.
 
Nilimuuliza ushawahi kuishi Rwanda???
 
ITS TRU KIGALI NI KUSAFI SANA NA WAMEFANIKIWA KUTENGENEZA MITARO VIZURI KUWEKA PAVING NJIIANI. NA MAUA MENGI SANA YENYE RANGI TOFAUTI TOFUATI. NI MJI WENYE MVUTO KWA MUONEKANO. LAKINI KIHIVYO HUWEZI SEMA NI SUPER POWER .
KIGALI NI MJI MDOGO SANA UNA WATU 1.3 MILLION KAMA SIJAKOSEA NI MDOGO SANA UKILINGANISHA KAMA NAIROBI AU KINSHASA AU DAR NI MIJI MIKUBWA SANA NA WATU WENGI.
INGEKUWA HIVYO NASI MJI SINGAPORE GREEN CITY INGEKUWA SUPERPOWER KUZIDI INDIA NA MJI WAO WA MUMBAI.
 
Kuna makundi 120 ya waasi huko Drc, mengine yametoka Uganda (Adf,LRA).. mengine Rwanda (Fdlr)... mengine Burundi (Red Tabare).... mengine ni ya wenyeji wa Drc (maimai n.k)...ila kwanini Kagame pekee atupiwe lawama ?
Moronight walker
ANATUMIWA RAWAMA COZ VITA VYA 1&2 CONGO YEYE NDO ALIVIANZISHA.
ZILE VITA NDO VILISHABABISHA KUIBUKA KWA VIKUNDI VINGI SANA.
 
Asante kaka ila Nadhani hujawahi kukaa Rwanda miaka ya 1992 mpaka 1998 na siasa za Rwanda huzijui!!!!Mimi nipo kule vipindi vyote hivyo vya Hon Habriymana na Afande PC (Hon Paul Kagame)!!!!!Na mapungufu ya serikali zote mbili nimeyashuudia!!!
AAA KUMBE WE NI KWENU KULE , SASA UNACHOJIFANYA UMEKUJA BONGO MIAKA YA NYUMA
 
Wote waliobakia Rwanda na waliokimbilia DRC but wale waliokuja Tanzania at least walisalimika kwa kiasi flani!!!RPF walipochukua madaraka wamelipa sana visasi lakini sio kwa kiwango kile cha genocide ya 1993-1994
Ile HAUKUWA kulipa kisasi , RPA waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi hasa wa bagogwe hata kabla ya 1994.
Kipindi cha siku miamoja cha genocide RPA waliuwa wahutu wengi tuu eneo la byumba stadium, kuuwa wahutu wakadumbukiza mto kagera na walikubaliana na MU7 waseme hawa ni watutsi waliouwawa na wahutu.
Na baada ya kuchukua nchi waliendelea kuuwa , wengi waliwauwa kwenye NY'ungwe forest.
 
Swali ni nani chanzo cha hizi chuki?
Ukiuliza utaambiwa na hao watutsi eti ni wakoloni.
And then tuulize nani chanzo cha kuendeleza chuki?...tuanzie hapo ili tuweze kupata amani ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…