Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Mkuu matatizo ya Kivu mengi yameanza kitambo mno....ila tatizo limekuwa baya zaidi baada ya mauaji ya 1994 huko Rwanda yaliyosababisha maelfu ya wakimbizi wa kihutu kutimkia huko Drc na baadae Vita vilivyoanza toka mwaka 1996....Kuna chanzo kingine zaidi ya hiki ?
JokaKuu
Kabla ya 94 Rwanda genocide, congo vikundi virikuwepo ila virukuwa ni vichache sana , na havikuwa na madhara kama sasa, ila VINGI kiriibuka baada ya congo war, na ukatili ULE wa majeshi ya rwanda na Uganda na ya burundi ya kitutsi,
Wakishirikiana na banyamulenge, aisee walifanya ukatili MKUBWA sana congo unaanisha aiseee acha tuu
 
Kagame its not evil ila vitendo vya serikali yake kwa Wahutu its evil deed!!!The same kwa Habriymana kwa Watusi those days it was evil deeds too
Ila kagame Yazidi mpaka kwa watutsi wenzie.
Hata WAKE waliomsaidia kuchukua nchi anawaweka gerezani wengine anawauwa wengine wanamkimbia.
 
Hebu jadili hoja
Unarukia mambo! Mimi hoja yangu ilikuwa katika kujibu wapuuzi ambao walisema kinyambo kinashabihiana na kinyarwanda. Wewe ukaingiza hoja ya kipumbavu kuwa nasema hivyo kwa kuwa nina chuki na Kagame. Nikakueleza ukweli wangu kuwa Rais wa nchi anawajibika katika nchi husika. Kama anailetea tangible infrastructure development, kwangu mengine ni minor. Hivyo nampenda Kagame maana ameitoa from Zero mpaka hapo juu Rwanda. Mengine ni ya kwenu na sitaki kuyaingilia
 
Unaelewa maana ya superpower mkuu.
KENYA NDIO SUPERPOWER WA EAST AFRICA KAKA .
KENYA IMEIZIDI RWANDA ZAIDI YA MARA KUMI.
KENYA NDIO SUPER POWER MKUU USICHANGANYE..
KIGALI UWEZI FANANISHA NA JIJI LA KINSHASA AU NAIROBI.
TOFAUTI YA KIGALI NA MIJI MINGINE KAMA DAR ES SALAAM NI USAFI TUU.
MIJI MINGINE NI UCHAFU KWENDA MBELE.
ILA KIGALI SEHEMU KUBWA NI KUSAFI THAT IS TRUE.
HUWEZI FANANISHA NA KINSHASA JIJI LENYE WATU MILLION 15. NA KIGALI JIJI LENYE WATU 1.3MILLION.
NAIROBI KUNA WATU ZAIDI YA 5 MILLION.
MK254
MSAIDIE KUHUSU RWANDA KUJA KUIKUTA KENYA ITAKUWA LINI.
MAANA KENYA GDP NI ZAIDI YA $ BILLION 111 NA RWANDA NI 11 BILLION $.
- KENYA IPO JUU EAST AFRICA KAKA.
Acha kuandika kwa herufi kubwa maana tunaita ni kupiga kelele.
 
Swali ni nani chanzo cha hizi chuki?
Ukiuliza utaambiwa na hao watutsi eti ni wakoloni.
And then tuulize nani chanzo cha kuendeleza chuki?...tuanzie hapo ili tuweze kupata amani ya kudumu.
Chanzo cha HIZO chuki ni ideology ya watutsi baada ya wabeligiji kuwabandikiza kuwa wao ni special WANATAKiwa wale ni viongozi KULIKO wengine.
Hata elimu wao ndo wanatakiwa kusoma mapaka juu KULIKO wengine.
Ndo maaana kwa kipindi kile wengine walikuwa HAWARUHUSIWI kuwa na ng'ombe ni watutsi. So shida ni ideology ya watutsi. Tangu walipoenda kule congo kutoka rwanda, wariendeleza HIZO chuki, walizokuwa wanazionyesha kwao rwanda na birundi.
 
Ile HAUKUWA kulipa kisasi , RPA waliuwa wahutu na baadhi ya watutsi hasa wa bagogwe hata kabla ya 1994.
Kipindi cha siku miamoja cha genocide RPA waliuwa wahutu wengi tuu eneo la byumba stadium, kuuwa wahutu wakadumbukiza mto kagera na walikubaliana na MU7 waseme hawa ni watutsi waliouwawa na wahutu.
Na baada ya kuchukua nchi waliendelea kuuwa , wengi waliwauwa kwenye NY'ungwe forest.
Upo sahii kaka
 
Gama achana na huyo mtu kashatutukana katuita wapuuzi
Huenda katumwa kwahiyo hatumii muda wake kusoma vizuri kinachobandikwakwa kuwa anafikiri kila mtu anagusa ujira wake. Hawa wanaotetea mateso ya wakongo kuna mtu wameamuachia ubongo wao
 
And then tuulize nani chanzo cha kuendeleza chuki?...
wacongo walikuwa wanawachukia watutsi ( banyamulenge ) hata kabla ya PK kuchukua nchi kule rwanda.
Kwa sababu ya wao waliamia miaka ya nyuma congo , wakocngo walikuwa wanawaambia warundi, kwao tangu kipindi hicho.
Ila chuki ilizidi pale baada PK na RPA kuvamia rwanda vijana wao wengi walijiunga RPA rwanda ili kumsaidia PK kuchukua nchi na walifanikiwa.
Lakini 1996 walivamia congo(zaire) kwa lengo la kumuondoa mobutu na kumuweka kabila, ila nyuma wacongo wenyewe WANASEMA watutsi walitaka kuichukua north na kivu IWE rwanda KISA wamemsaidi kabila kuchukua nchi.
Japo kabila aliwashukuru kwa kumsaidia lkn mwishowe aliwafukuza watutsi warundi rwanda.
Na hii ndo chanzo cha vita vya pili vya congo.
Maana PK hakukubali kuwa kabila amfanyie uhuni.
Walivamia congo na kufanya ukatili MKUBWA sana.
So wacongo hawawapendi kwa sababu wanaonekana wanataka kuigawa congo.
 
Huenda katumwa kwahiyo hatumii muda wake kusoma vizuri kinachobandikwakwa kuwa anafikiri kila mtu anagusa ujira wake. Hawa wanaotetea mateso ya wakongo kuna mtu wameamuachia ubongo wao
Nimemwambia mimi mtusi na ninajua haya mambo kaniita mpuuzi!!!!Basi nikaachana nae kiutu uzima!!!!Mwache aamini anachoamini ndio uhuru wa fikira Mkuu
 
Lakini hawa watu ni wazawa wa kongo kabisa ,
Huwa nahisi kuwa hii siyo kweli, kimsingi wanyarwanda wa asili ya ki-tutsi walianza kukimbia rwanda miaka ya 1956, 1965 et cetera. Of recent, 1965 kulitokea mzozo mkubwa baina ya utawala wa Rwanda na wanyarwanda wa jamii ya watutsi na watutsi wakakimbilia Zaire na Uganda kwa wingi. Huko Zaire wakashambuliwa na makundi ya wapiganaji wa jadi na dunia ikaingilia so, wengi wakawa re-settled to Tanzania nahapo ndipo Nyerere akawapa makazi pale Mwese_Mpanda-Katavi na baadae Nyerere akawapa mass naturalization(Uraia). Nachotaka kusema ni kuwa hawa watu si wa asili ya Kongo, ni matokeo ya ugomvi baina ya Habyarimana na Kaibanda. Kimsingi, hawa wahanga waliendelea kufanya majaribio kadhaa ya kumuondoa madarakani rais wa Rwanda mara kadhaa chini ya viongozi mbalimbali mpaka alipotokea Rwigema aliyekuwa senior officer katika jeshi la Uganda alipoanzisha RPF ambapo akamkaribisha Kagame na Kagame akamzawadia zawadi wa kifo
 
Back
Top Bottom