Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
- #201
Kabla ya 94 Rwanda genocide, congo vikundi virikuwepo ila virukuwa ni vichache sana , na havikuwa na madhara kama sasa, ila VINGI kiriibuka baada ya congo war, na ukatili ULE wa majeshi ya rwanda na Uganda na ya burundi ya kitutsi,Mkuu matatizo ya Kivu mengi yameanza kitambo mno....ila tatizo limekuwa baya zaidi baada ya mauaji ya 1994 huko Rwanda yaliyosababisha maelfu ya wakimbizi wa kihutu kutimkia huko Drc na baadae Vita vilivyoanza toka mwaka 1996....Kuna chanzo kingine zaidi ya hiki ?
JokaKuu
Wakishirikiana na banyamulenge, aisee walifanya ukatili MKUBWA sana congo unaanisha aiseee acha tuu