Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Nakuelewa hata falme ya Rumanyika ilikuwa ni Watutsi kama ndio kundi hili hupenda kujitambulisha kuwa wao ni Wanyambo.
.:.::

Ila kinyambo kinashahabiana na kinyarwanda, Kinyankole ila sio kihaya.

Shukrani
Hivi huwa mnadanganya kwa faida ya nani? Una uhakika na hicho ulichoandika hapo juu?
 
Jaribu kuandika unachofahamu si kupotosha
 
Kwa hiyo sura we ni li Hutu
 
Nadhani ana hakika ndio maana kaandika kaka
Ni Mpuuziiiiiii tu! Hizo ni story za kutunga. Kwa bahati nzuri kijana wangu mmoja anaoa Mnyambo. Kabla hajaoa nilifanya parental homework! Nawafahamu sana. Kinyambo hakioani na kinyarwanda ! Kinyarwanda kinashabihiana na kihangaza au Kiha. Kama ana ubavu anyoshe mkono
 
Kinyarwanda ni Kirundi na kihangaza na kiha ndo wanaelewana sio wanyambo wala wahaya
 
Mimi mababu wa mababu zangu ni koo za watusi(Wafugaji) waliotokea tawala za Kikoo za kinyarwanda(Lushana,Ntare and ect..) ila walipofika karagwe kulikua na imaya za kichifu na kifalme za Wanyambo koo tofauti tofauti na koo nyingine sina asili ya kinyarwanda,zingine zina asili ya kinyankole na zingine asili ya kihaya!!!Wakachangamana nao kwa kuoleana zama hizo na hasa hasa zile koo za machifu wa kinyambo wenye asili ya kinyarwanda na wote walikua wafugaji wa ngombe zile zenye pembe ndefu!!!Miaka zaidi ya 400 kabla hajaja mkoloni
 
Wanyambo wanaweza kuelewa lugha zote hizo kwa kiasi flani!!!Mimi mrundi mnyarwanda,muganda,mnyankole na wahangaza na waha na watwa na Wanyamulenge na wamanyema na wanyoro kuna maneno nawaelewa ila ni mnyambo wa karagwe!!!Naona lugha za kibantu na semitic zinaingiliana kwa kiasi flani hivi
 
Okay, tufanye wakimbizi waliopewa uraia.
 
Achana na hizo stories tueleze Kinyambo na Kinyarwanda vinashabihiana?
 
Mnaozungumza kuhusu makabila ya asili Tanzania unaweza usikute kabila lolote hapa labda ikawa milima tu ndo ya asili. Wote wahamiaji.

Banyamulenge nadhani siku zite hizo wameishi kwa amani huko DRC shida ni pale wananapokubali kutumika na PAKA. Alafu wanatabia ya kujiona so special kuliko wengine. Nimesoma nao mipakani huko hao watu nawafahamu sana.
 
Achana na hizo stories tueleze Kinyambo na Kinyarwanda vinashabihiana?
Muulize aliesema I mean mleta Uzi hapa jukwaani mimi binafsi nimesema ni mnyambo wa karagwe ila mtu akiongea lugha hizo tano kwa kiasi namuelewa na mnyambo!!!Kuna maneno yanaingiliana kwenye lugha hizi za kibantu!!!Afu tupo humu kuelimishana kupeana historia na hata kukosoana kwa hoja zenye mlengo wa kujifunza na sio mashindano nani anajua na nani hajui kaka!!!
 
Ni kweli Watusi tuna tabia ya kujikweza sana na kudharau Jami I nyingine kama za wahaya,Wanyambo,wanyankole,waangaza,warundi,na wabangubangu and ect.......!!!Hiyo ni tokea zamani enzi za mababu na mababu na hayo ndio madhaifu yanayoleta ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…