Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
- Thread starter
-
- #121
Nafikili shida ilianzia kuja kwa wabeligijiNi kweli Watusi tuna tabia ya kujikweza sana na kudharau Jami I nyingine kama za wahaya,Wanyambo,wanyankole,waangaza,warundi,na wabangubangu and ect.......!!!Hiyo ni tokea zamani enzi za mababu na mababu na hayo ndio madhaifu yanayoleta ugomvi
Ndio wabelgiji waliwaambia mababu zangu kua wao ni waabeshi (Ethiopia) sio wabantu!!!!Story hizi zipo sana RwandaNafikili shida ilianzia kuja kwa wabeligiji
Mpaka leo mkuu??Ndio wabelgiji waliwaambia mababu zangu kua wao ni waabeshi (Ethiopia) sio wabantu!!!!Story hizi zipo sana Rwanda
[emoji1787]Mkuu usiwe na wasiwasi. Unaogopa utaambiwa urudi nyumbani?Mipaka aliweka mkoloni kaka!!!Babu zangu wa mwanzoni waliingia karagwe miaka ya 1700,s!!!Enzi hizo zilikuwapo flame nyingi nyingi ik I we po himaya inaitwa Karagwe!!!!!Mipaka waliweka wajerumani sasa ukimbizi wangu ni UPI????Waangaza,Wanyambo,Wahaya na Wanyankole na Wanyoro utawazungumziaje????Au hujui historia ya makabila ya mpakani mdogo wangu???
Mkuu,achana na huyo jamaa,hata hapa Tabora mjini wapo wengi, mpaka kuna sehemu inaitwa ututsini.Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?
Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?
Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?
Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga
Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Ipo sana kwenye koo za kitusi ila hawaisemagi adharaniMpaka leo mkuu??
Hio ideology bado ipo?
We acha uzushi, wapi anadai au alidai kitu kama hiki? Can you give the quote? We endeleza chuki zako kwake kivyako lakini usichonge uongo iri mradi tu upate watu wakumchukia kwa maneno yako. Nimekuelewa we ni mtu wa aina gani.Kagame anadai Ngara na baadhi ya sehemu za wilaya ya karagwe ni Rwanda!!!!!
Kaka RPF huwajui na Kagame humjui pia!!!!Kwenu nyinyi ni shujaa ila sisi tunamjua vizuri since enzi za Iyenzi 1980,s!!!Naongea nachokifahamu kakaWe acha uzushi, wapi anadai au alidai kitu kama hiki? Can you give the quote? We endeleza chuki zako kwake kivyako lakini usichonge uongo iri mradi tu upate watu wakumchukia kwa maneno yako. Nimekuelewa we ni mtu wa aina gani.
Aisee pole sana, umejitahidi lakini bado mshamba sana, unajiita Mtusi, Mara eti sisi watusi tumeua sana, mara eti kwenu nyini ni shujaa sisi tunamjua sana toka enzi za Iyenzi 1980 hata History huijui. What is your level of education? vitu vyote unavyovisema try a simple research utavipata. Otherwise nakushauri urudi kwenu kwani wewe sio mTanzania. Watanzania hawana akiri chafu kama yako.Kaka RPF huwajui na Kagame humjui pia!!!!Kwenu nyinyi ni shujaa ila sisi tunamjua vizuri since enzi za Iyenzi 1980,s!!!Naongea nachokifahamu kaka
Kagame akitafuta huruma za washirika wake wanaotaka kumtenga..
Kaka kumukosoa Kagame umekasirika????Acha tumkosoe tu anayo mapungufu kama binadamu wengine!!!Mbona hata yeye alikua anamkosoa Kikwete hadharani Na vilevile alikua anamkosoa Habriymana hadharani!!Kuhusu level yangu ya elimu sijasoma kaka hata primary nilikimbia umande!!A
Aisee pole sana, umejitahidi lakini bado mshamba sana, unajiita Mtusi, Mara eti sisi watusi tumeua sana, mara eti kwenu nyini ni shujaa sisi tunamjua sana toka enzi za Iyenzi 1980 hata History huijui. What is your level of education? vitu vyote unavyovisema try a simple research utavipata. Otherwise nakushauri urudi kwenu kwani wewe sio mTanzania. Watanzania hawana akiri chafu kama yako.
Kuna msomi mmoja humu ndani kanikasirikia mimi kueleza mapungufu ya serikali ya RPF inayoongozwa na Watusi walio wachacheKagame akitafuta huruma za washirika wake wanaotaka kumtenga..
Kule kaka nitaenda kupacheki ila ndio hivyo wakoloni walitutenganisha na mipaka ya kuchora miaka ya 1800,s mababu zangu wakajikuta tanganyika but am very proud na asili ya mababu zangu!!Nelson Jacob Lushasi, rudi kwenu ukaone jinsi Kasri la Ntare Lushasi ririvokarabatiwa, utafurahi na roho yako
Pk mabwana zake huko juu washamchoka,mshaurini kabisa akiona choo ndotoni asikitumieIla hili Lilitegemewa hapa ndio watazidi kumpa Kagame justification kuvamia Kivus na Ituri. Na Hilo likitokea naona itakua ni 3rd Congo war na hao wacongo watajuta kuzaliwa.
Haelewi kitu huyo. Hizo video ni Kagame anatafuta uhalali wa kuingia DRC baada ya wamagharibi kumueleza kuwa hawamuungi mkono tena.Kuna msomi mmoja humu ndani kanikasirikia mimi kueleza mapungufu ya serikali ya RPF inayoongozwa na Watusi walio wachache
Hahahaaa, akikitumia tu amekwenda na maji!Pk mabwana zake huko juu washamchoka,mshaurini kabisa akiona choo ndotoni asikitumie
Walitaka kunipa mke hapo Tabora.Mkuu,achana na huyo jamaa,hata hapa Tabora mjini wapo wengi, mpaka kuna sehemu inaitwa ututsini.
Drc ataingia kama nani na yeye anadai wale m23 awatumi yeye na ni wakongo,aangalie alama za nyakati wazungu wakiingia sehemu awajionyeshi walivyokua awaonyeshi kama wanamtumia yeye kuiba congo,hawa wacongo vibe lao wana kitu nyuma yao kinawasapotiHaelewi kitu huyo. Hizo video ni Kagame anatafuta uhalali wa kuingia DRC baada ya wamagharibi kumueleza kuwa hawamuungi mkono tena.