Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

Ni kweli Watusi tuna tabia ya kujikweza sana na kudharau Jami I nyingine kama za wahaya,Wanyambo,wanyankole,waangaza,warundi,na wabangubangu and ect.......!!!Hiyo ni tokea zamani enzi za mababu na mababu na hayo ndio madhaifu yanayoleta ugomvi
Nafikili shida ilianzia kuja kwa wabeligiji
 
Mipaka aliweka mkoloni kaka!!!Babu zangu wa mwanzoni waliingia karagwe miaka ya 1700,s!!!Enzi hizo zilikuwapo flame nyingi nyingi ik I we po himaya inaitwa Karagwe!!!!!Mipaka waliweka wajerumani sasa ukimbizi wangu ni UPI????Waangaza,Wanyambo,Wahaya na Wanyankole na Wanyoro utawazungumziaje????Au hujui historia ya makabila ya mpakani mdogo wangu???
[emoji1787]Mkuu usiwe na wasiwasi. Unaogopa utaambiwa urudi nyumbani?
Sisi waTZ ni wakarimu sana, so usijibu kwa jazba
 
Wapo
umeitembelea Karagwe?
Umeitembelea Kyerwa?
Umeitembelea Umurushaka?
Umefika Kibingo?
Usiisahau Kaisho na vijiji vyake?

Unafahamu familia tu ya Chief Rumanyika ni watutsi?
Je nao Wakimbizi?

Waliopewa Uraia miaka ya 1960 na Nyerere nao ni Wakimbizi?

Wapo pia Tabora kule kaliua na Ng'ombe zao
Wapo pia Mpanda
Wapo Sumbawanga

Usibishe jambo usilo lijua ila wote wanajitambulisha kuwa ni Wanyambo
Mkuu,achana na huyo jamaa,hata hapa Tabora mjini wapo wengi, mpaka kuna sehemu inaitwa ututsini.
 
Kagame anadai Ngara na baadhi ya sehemu za wilaya ya karagwe ni Rwanda!!!!!
We acha uzushi, wapi anadai au alidai kitu kama hiki? Can you give the quote? We endeleza chuki zako kwake kivyako lakini usichonge uongo iri mradi tu upate watu wakumchukia kwa maneno yako. Nimekuelewa we ni mtu wa aina gani.
 
Kaka RPF huwajui na Kagame humjui pia!!!!Kwenu nyinyi ni shujaa ila sisi tunamjua vizuri since enzi za Iyenzi 1980,s!!!Naongea nachokifahamu kaka
 
A
Kaka RPF huwajui na Kagame humjui pia!!!!Kwenu nyinyi ni shujaa ila sisi tunamjua vizuri since enzi za Iyenzi 1980,s!!!Naongea nachokifahamu kaka
Aisee pole sana, umejitahidi lakini bado mshamba sana, unajiita Mtusi, Mara eti sisi watusi tumeua sana, mara eti kwenu nyini ni shujaa sisi tunamjua sana toka enzi za Iyenzi 1980 hata History huijui. What is your level of education? vitu vyote unavyovisema try a simple research utavipata. Otherwise nakushauri urudi kwenu kwani wewe sio mTanzania. Watanzania hawana akiri chafu kama yako.
 
Kaka kumukosoa Kagame umekasirika????Acha tumkosoe tu anayo mapungufu kama binadamu wengine!!!Mbona hata yeye alikua anamkosoa Kikwete hadharani Na vilevile alikua anamkosoa Habriymana hadharani!!Kuhusu level yangu ya elimu sijasoma kaka hata primary nilikimbia umande!!
 
Nelson Jacob Lushasi, rudi kwenu ukaone jinsi Kasri la Ntare Lushasi ririvokarabatiwa, utafurahi na roho yako
Kule kaka nitaenda kupacheki ila ndio hivyo wakoloni walitutenganisha na mipaka ya kuchora miaka ya 1800,s mababu zangu wakajikuta tanganyika but am very proud na asili ya mababu zangu!!
 
Kuna msomi mmoja humu ndani kanikasirikia mimi kueleza mapungufu ya serikali ya RPF inayoongozwa na Watusi walio wachache
Haelewi kitu huyo. Hizo video ni Kagame anatafuta uhalali wa kuingia DRC baada ya wamagharibi kumueleza kuwa hawamuungi mkono tena.
 
Ndio maana I support M23 na Kagame maana kinachoendelea Congo ni genocide ila wengi hawataki kukubali,Congolese wamekuwa kama interahamwe tuu, dawa ya Congolese na interahamwe ni kuwarudishia moto na zaidi ili heshima irudi, banyamulenge wasiposimama watafutwa na congolese... time to fight back sio kukaa ndani unasubiri waje wakumalize
 
Haelewi kitu huyo. Hizo video ni Kagame anatafuta uhalali wa kuingia DRC baada ya wamagharibi kumueleza kuwa hawamuungi mkono tena.
Drc ataingia kama nani na yeye anadai wale m23 awatumi yeye na ni wakongo,aangalie alama za nyakati wazungu wakiingia sehemu awajionyeshi walivyokua awaonyeshi kama wanamtumia yeye kuiba congo,hawa wacongo vibe lao wana kitu nyuma yao kinawasapoti
 
Back
Top Bottom