Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
Ni kwa kua walio fanya mauaji Rwanda 1994 wakalibishwa na DRC walipofika huko wakakuta zile sura walizokua wanaua,wakapenyeza hizo chuki kwa wa congo ubaguzi ukaanzia hapo. makundi yao lama FDLR wakaanza kuwaua kisa ni watusi na ndio chimbuko la M23 ili kujilinda.Pengine swali liwe kwa nini yanawatokea wao (Tutsi)?