SoC02 Ukatili kwa Watoto

SoC02 Ukatili kwa Watoto

Stories of Change - 2022 Competition

CONSOLATA LYIMO

New Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
2
Reaction score
0
UKATILI KWA WATOTO
Ukatili kwa watoto hufanya kwenye jamii zetu pamoja na majumbani hujumuisha ukatili wa kisaikolojia kimwili ,vitisho ,ukatili wa kingono. Ukatili unaweza kutokea kwa Watoto wa jinsia zote kwa jinsia zote. Migogoro kwenye familia wazazi kutengana ni chanzo kikubwa cha ukatili kwa Watoto.

ATHARI ZA UKATILI KWA WATOTO
  • Majeraha
  • Vifo
  • Msongo wa mawazo
  • Watoto wa mtaani

MAJERAHA
Watoto hufanyiwa ukatili hadi kupelekea majeraha makubwa kama kuchomwa na moto kukatwa na vitu vyenye ncha kali mpaka kupelekea ulemavu kwa mtoto.

VIFO
Baadhi ya ukatili hupelekea kifo kwa mtoto

MSONGO WA MAWAZO
Asilimia kubwa ya Watoto wanaofanyiwa ukatili huwa na msongo wa mawazo inapelekea mtoto kushindwa kukua vizuri kutoelewa darasani.

WATOTO WAMTAANI
Baadhi ya Watoto wanaofanyiwa Ukatili hutoka majumbani na kuenda kuishi mtaani inapelekea kuwa Watoto wengi sana

VICHOCHEZI VYA UKATILI KWA WATOTO
1 Uhaba wa sheria zinazo simamia ukatili kwa Watoto.

2 sababu nyingine ni mfumo wa kumkandamiza mtoto majumbani.

3 mila patofu pia zinakua ni chanzo za ukatili

ELIMU
Kutoa elimu kwa jamii kuhusu ukatili wa Watoto ,kuweka madawati ya kushuhulikia ukatili wa Watoto kwenye jamii ,kutoa elimu kwa Watoto wanapofanyiwa ukatili kutoa taarifa sehemu husika

KUKOMESHA UKATILI KWA WATOTO
1 Kuweka madawati ya kushughulikia ukatili wa Watoto karibu karibu ili kukomesha ukatili na wanaofanya ukatili kuchukuliwa hatua haraka hii itatokomeza ukatili wa Watoto kwenye jamii

2 Kutoa taarifa pindi utakapoona ukatili kwa mtoto

3 Kukemea ukatili majumbani ili kuweza kutokomeza ukatili

4 Kutoa elimu juu ya ukatili kwa Watoto pia wewe unaweza kujifunz na kuanzisha mijadala mbali mbali kwenye jamii yako juu ya ukatili kwa Watoto

HATUA
Ikingundulika familia au jamii inahusika na vitendo vya ukatili kwa Watoto ichukuliwe hatua maramoja ili kukomesha ukatili kwa Watoto.

JAMII
Mimi na wewe tunaweza kutokomeza ukatili wa Watoto kwenye jamii inayotuzunguka kwa kutoa taarifa sehemu husika.

NB Tusikubali kuona utatili wa Watoto tuwapende Watoto na tuwalinde Watoto ni wetu sote mtoto wa jirani ni mtoto wako.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Upvote 1

Swala watoto linachukuliwa poa sana serikali na wadau wengine. Unasemaje watoto ndio taifa la kesho wakati tunawaacha baadhi yao wakifanyiwa ukatili majumbani na wengine wakiishi mitaani bila matumaini yoyote kuhusu kesho yao?
 
Back
Top Bottom