Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri.
Hao wahusika watakuwa ni chama cha mambuzi. Michawi, milawiti, mijizi, wasafirisha wahamiaji haramu, madawa, ufisadi na sasa wamejiingiza kwenye viungo vya binadamu kuelekea uchaguzi.
Matukio kama haya huwasikii haki za Binadamu. Wakikamatwa wahusika wanyongwe hao wanaibuka blah blah blah.
Njia tunazotumia kukamiliana na haya matukio zmeonesha kabisa zimefeli. Hatuwezi kuzuia matukio kama haya yasitokee ila tunaweza tukatoa mfano kiasi kwamba ukifikiria kufanya ukatili unaikumbuka shoo aliyofanyiwa muuaji mwenzako.