Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri

Ukatili: Mtoto auawa na kukatwa sehemu za siri

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Kuelekea uchaguzi, tutashuhudia mengi zaidi, [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Matukio kama haya huwasikii haki za Binadamu. Wakikamatwa wahusika wanyongwe hao wanaibuka blah blah blah.

Njia tunazotumia kukamiliana na haya matukio zmeonesha kabisa zimefeli. Hatuwezi kuzuia matukio kama haya yasitokee ila tunaweza tukatoa mfano kiasi kwamba ukifikiria kufanya ukatili unaikumbuka shoo aliyofanyiwa muuaji mwenzako.
 
Back
Top Bottom