Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Wanabodi nimekutana na hii habari kutoka ITV kiukweli imenifanya nimfikirie sana namna ambayo jamii inazodi kuharibika.
Wanawake wamekuwa wakilaumu wanaume kuwa wanawanyanyasa, sasa huu UKATILI ni wa mwanamke dhidi ya mwanaume.
Kuna mwanamke amemwagia maji ya moto mumewe ambae ni mwalimu huko wilayani Iramba kisa ni wivu wa mapenzi na akachoma Moto nyumba iliyokuwa na mtoto na mdogo wa mumewe.
Dunia tambara bovu