Buyopa
New Member
- Aug 21, 2022
- 1
- 0
UTANGULIZI
Ukatili ni kitendo kiovu au kichafu anachofanyiwa mtu au watu. Ukatili ni neno lenye mapana sana na limebeba vitu vingi ambayo baadhi yake tunavijua na kuvielewa kabisa. Ukatili ni Kwenda kinyume na haki za binadamu na kumtendea ndivyo sivyo, Ukatili unaweza kuwa wa matendo mawazo hisia, na saikolojia ambao ndio mbaya zaidi na jamii na watu wameusahau na haujawekea hata mikakati ya namna gani ya kuwatetea watu waliokumbana na hizi changamoto. kumekuwepo na wimbi kubwaa la wadada wasio olewaa wakiishi maisha yao lakini ukifuatilia maisha yao unaweza gundua kuwa wengi wamezaa mtoto mmoja Hadi wawili na likija swala la kuolewa kwao halina mantiki kabisa.
Unawezaa kuniulizaa kwanini halina mantiki na Wala si la umhimu ngoja twende polepole tutaelewana na hii itakufanyaa Kwa nmna Moja au nyingine uwaze jamboo na ujue sababu hasa za Hawa vijana Wa kike kupuuzaa Sanaa swala la kuolewa.
Kuna wadada ambao ni mstaa na maarufu lakini pia wanahelaa ila wanachangamoto ya kutokuwa na ndoa chakushangaza wengi wao ukifuatilia utakuta pia wamezaa
Swali la kujiuliza
Sașa inakuaje Hawa wote wawe na watoto na wasiwe wameolewa na ukizingatia wanajitosheleza na wako vizuri kimaaishaa yaani naamaanisha uchumi uko vizuri ngoja tuendelee.Wote tunajua katika vitabu vyetu vya dini na hata mila zetu mwanamke yeye hachagui Wala hapangi kuolewa lini? sehemu gani na mwaka Gani! lakini anauwezo Kwa kukataa au kukubali kuolewa na mwanaume ambaye atakuwa amemridhia na kuona anafaa kufanya Naye maisha.
wale wasomaji wa vitabu vya dini mnaweza niunga mkono Kwa habari ya maelezo yangu labda tuzungumzie vijana tu wakike ambao si maarufu lakini hawajaolewa.
nilipata kumsikia kaka mmoja katika Hali ya matani alimuuliza Dada ake dada, hivi ni lini utachumbiwa na kuolewaa yule binti nilimuona akitabasamu lakini Kwa tabasabu lililojaa uchungu na huzuni alimjibu mdogo ake " wanaume na hao waoaji wenyewe wako wapi?. Inawezekana ni moja ya majibu yakusitaajabishaa!, maana sisi tulitegemea ajibu kuwa mwaka flani ndo nategemea au nitakwambia mdogo angu muda ukifika ila cha ajabu alimjibu kwa huzuni lakini usoni akionesha tabasabu.
Maana kuu ya utangulizi
Labda utakuwa unajiuliza Nini hasaa nimelengaa kusema.ngoja nikukumbushe katika miaka 10 Hadi 15 iliyopita kuolewa ilikuwa ni lazima na sifa Kwa mdada yeyote aliyefikishaa umri wakuolewa achana na mambo ya jamiii zetu ya binti kulazimishwa kuolewa na mtu flani Kwa manufaa ya wazazi hiyo ni mada nyingine na wengi wameiandikia na kuizungumzia kwa mapana sana
Kuna siku nimekutana na binti Wa miaka 24 au 25 katika kupiga stori nilijikutaa namuuliza kama ameolewaa au laa alishutuka na Kwa hasira akajibu akasema hataki kabisa kusikia habari za wanaume, ilinishangaza kidogo na kujiwazia moyoni inamaana wanaume ndo wamekua makatili namna hiyoo mpaka aseme hataki kusikia kuhusu izo habari, nikataka kujua zaidi nini kilimsibu huyu bi mdada akanielezaa akisema nilipomaliza kidato cha nne nilipata mwanaume na nilimpenda akanitoroshaa nikaishi nae.
Unawezaa ona kama ni ujinga kwanini akubali kutoroshwaa labda hujasoma kitabu cha Ngoswe - Penzi kitovu Cha uzembe waswahili walichagiza kuhusu nguvu iliyo katika mapenzi ama upendoo anaendelea kusimulia nikazaa naye watoto wawili lakini badae akaniachaa na hivi nakuambia wewe watoto wangu mmoja ana miaka mitano mwingine mitatu hajawahi ata kuwanunulia chupi za mikojo kisomi wanaita nilishituka na Kwa mshangao nikasema jamani Wanaume nyie mnadhambi nikata kujua je ikitokea mwanaume akarudi anataka wajenge maisha naye ghafla akanisimama akaniambia yaani asije nitamfanyia kitu hata sahau asije nyumbani kwangu Wala kwetu naweza kumchoma hata kisu.ilinibidi nibadilishe maada Kwanzaa kupishaa hisia kali zilizojaa hasira na uchungu.
Naona sasa unaanza kunielewaa kidogo kuwaa hili limekua ni janga kubwaa la taifa na jamii zetu kwa ujumla wake kupitia mfano huo juu unafikiri Kuna mtu anaweza mshawishi uyoo mdada kuolewa? Au ata akikubali kuolewa atakuwa na furahaa ya ndoa? au itambidi tu aolewe kujishikisha kama ilivyokuwepo sasa Kwa wadada wengi?
Ngoja tujiulize kitu inamaana wanaume ndo kweli wasababishi wahaya yote na wanasitahili kuzikubali hizi shutuma na lawama kuwa ni kweli?
Subiri kidogo nikukumbushe Kuna wanaume nao wako wenyewe hawajaoa na kuhusu kuoa kwao hilo wazoo ni kama halina maana kabisa, utasema nakuchanganyia maada embu tuendelee.
Jamii yetu ya tanzania imeendelee sanaa kwa suala la kitekinolojia hususa ni wakati huu wa utandawazi ambapo vijana wamekuwa wanauelewa mkubwa mno katika kutumia tekinolojia nazungumzia vishikwambi pamoja na komputya mpakato pia kuhusiana na hili vijana wamekuwa miongoni mwa wataumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii na huenda wanaongoza kuliingizia taifa pato la serikali. Kwa maana hiyo ila jamiii yetu bado haijaelewa ni nini hasa vijana kinawafanya muda wote wawe na simu, mchana na usiku wengine Hadi kukesha sasa utaniuliza unataka kusema Simu ndo zimesababisha wadada wasiolewe?
Ikumbukwe kuwa watoto Wa kike wanahitaji na mahitaji mhimu kuliko Hawa Wa kiume kwahyoo wanajikuta katika kujikwamua ndo wamepata majangaa hayoo hapo nadokeza tu Ili kushabihisha na maada husika.
SABABU ZINAWAFANYA WAKATAE KABISA KUOLEWA
Moja: Hawana imani tena na wanaume
Mbili: Historia ya mahusiano yaliyoleta majonzi na makovu
Tatu: Kumbumbuku isiyofutika Kwa mambo ya Ukatili ikiwemo kubakwa na kulawitiwa
Nne: Wanahasira na uchungu ambao Bado haijaishaa
Tano: Wamearithirika kisaikolojia na hawapo tayari kubadilishiwa misimamo wao.
Sita: Wanahuzuni katika mioyo yao na furaha tu ya usoni.
CHANZO CHA HAYA YOTE
Jamii imejisahau kujihusisha na kumfundisha maadili mtoto wa kike na badala yake imeiachia serikali peke yake naamainisha mashuleni.
Ni ukweli usio jificha zaidi kuwa jamii ipo radhi kugharimikia mahitaji Lakini si la kuhusu maadili utasikia mzazi anaesema atatajijua mwenyewe.
mipaka iliyopo kati ya watoto na wazazi amabyo imepelekea hata watoto Wa kike na mabinti wakipata changamoto za kimahusiano wamekuwa wakikimbilia Kwa rafiki zao ambao ndo wamekua kama wazazi wao hii hatari sana.
Siamini kama mzazi anaweza mshauri mtoto wake kutoa mimba au kudanga unadhani Nini kinasababisha ?
Kukosekana muda mrefu Wa malezi ya wazazi zaidi yake watoto wameshindwaa kuona upendo Wa wazazi wao na kujifunza hata maadili kutoka Kwa wazazi wao.
kukosekana Kwa uwazi kati ya mtoto na mzazi mtoto aliyepata changamoto ya kubakwa kama mzazi wake hajamfanya rafiki ake ni ukweli kabisa Binti huyu hawezi sema Kwa mzazi wake unaweza sema naongelea kitu gani hapa?
wazazi na jamii imeendelea kuamini watoto wamekua ila haiamini kama hata hakili na mawazo yanabadilika hawawaulizi kuhusu mahusiano ila wanauliza kuhusu nguo za kujistiri Wakati Wa hedhi.
watoto wengi wamefanyiwa ukatili, wamebakwa wengine wametoa Hadi mimba lakini wazazi hawajua hiki kitu kimesababisha watoto Hawa kuharibika kisaikolojia kabisa.
embu fikiria Siri za mototo wako anajua mtu mwengine ama rafiki ake zaidi hata ya wewe na umeridhika tu.
NINI KIFANYIKE?
Mabinti na wadada waliopata janga hili wanahitaji kupendwa na kuoneshwa upendo Wa Hali ya juu ili kuwaaminisha kuwa sio wanaume wotee wabayaa.
Jamii irudi ione namna bora ya kuendelea kukaa na watoto na kuwa karibu nao zaidi.
Mipaka kati ya wazazi na watoto iondolewe Ile watoto waweze kuwaeleza wazazi wao yanayowasibu.
Taasisi za dini yaani makanisa na misikiti wajitahidi Sanaa kuwafundisha vijana Hawa mienendo safi ikiwemo kuwafundisha kusamehe.
Jamii isijisahau kuhusu matumizi ya vyombo vya mawasilino hasa Kwa mabinti wadogo ili wasije kuingia katika mambo yaajabu na kuperuzi vitu visivyofaa.
Serikali ewekeze pia kupata wabobevu Wa mambo yakisaikolojia yatayowafanya Hawa vijana walioarithirika na ukatili kugeuza fikra na mawazo yao.
Picha kwa msaada Wa Google.

Upvote
0