Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Taifa linahitaji katiba ambayo mkuu wa jeshi hata kama akiteuliwa na raisi kama Amiri jeshi mkuu aweze kushtKiwa na kuwajibishwa kisheria.
Jaji mkuu aombe nafasi hiyo kama anaomba ajira. Ili akiajiriwa asiwe na upendeleo. Sio kuteuliwa na kupendelea aliyemteua. Watu wanapigwa mahakamani. Jaji mkuu yupo kimya kama barafu.
Chadema ndio chama sahihi kwa taif letu. Kila mtanzania anatbua.