GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo ni pale kila kitu ukikichukulia personal.
 
Ilikua ni ishu ya kumvuta msaidizi wake kumpa maelekezo kimya kimya.

Ila haya yanatokea kwa kuwa Mungu ameufanya moyo wake kuwa mgumu ili azidi kuwatia watu hasira na hamasa.
Naam hiyo nayo ilikuwa sawa, hata pia angesema, angewapa jukumu watu wanaohusika na usalama waangalie nini shida.
 
Huu ujumbe nauona kila nikifungua komenti!?
 
BIla shaka wataondoka kabisa mkutanoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…