Sking zone
Member
- Jun 20, 2024
- 12
- 7
swala ukatili kwa watoto hapa nchini lina linasababisha changamoto na matatizo mengi hapa tanzania,
matokeo ya unyanyasaji wa watoto
a.kupelekea matatizo ya akili kwa mtoto anaye nyanyaswa au kukatiliwa kwani atapata msongo wa mawazo na kupata sonona yaani ugonjwa wa akili unaosababishwa na mawazo
b.itasababisha mtoto kujitenga na wenzake ili kupata ujuzi mbalimbali na kuifurahisha akili yake ili iweze kuchanganua mambo yanayo mkumba
c.... inaweza.kupelekea kifo kwani mtoto anapoona ananyanyasika haoni haja ya yeye kuendelea kuishi hapa duniani na hivyo kuamua kujiua yeye mwenyewe
d..... inaweza kupelekea ongezeko la watoto wa mitaani kwani endapo ukatili huo utafanyika pale kwao utamfanya aondoke nyumbani na.kwenda mtaani akiamini ndiko atakapopata msaada sahihi
e..... Inapelekea ongezeko la waru ambao hawajui kusoma na kuandika , kwa maanakwamba ukatili unafanyika.maenei mengi ikiwemo shuleni hii endapo mwalimu au mwanafunzi atamkatili mwenzake itapelekea mnyanya paliwa huyo kuondoka shuleni na kwenda mtaani akiamini atapata msaada kamili
YAFUATAYO YAFANYIKE ILI KUPUNGUZA NA KUUONDOA UKATILI HAPA NCHINI
A.... Serikali itengeneze baraza maalumu la kushughulikia hili swala kwa undani zaidi
B.... Serikali iandae mifumo zaidi na madhubuti kuisamvaza.elimu juu ya swala hili vijijini na mijini
C... Serikali iandae na iunde sheria madhubuti kwa yeyote atakae nyanyapaa au kumkatili mtoto kupewa hadhabu stahiki
D... Serikali iungane na vyombo vya habari ili kutumia ushawishi wa vyombo vya habari ili watu waache ukatili kwa watoto
E... Zianzishwe klabu mashuleni kama ilivyo takukulu, pia serikali ifanye hivyo ili kuweka uzalendo kwa wanafunzi kwani ndio taifa la kesho

endapo haya yatafanyika hii itapelekea kuipata nchi ile tuitakayo kwani watoto ndio viongozi wa kesho na wananchi wa kesho, hivyo misingi ianzie huku chini
>>>>>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<<<____
Upvote
2