Ukavu sehemu za siri

Ukavu sehemu za siri

hata sio ugonjwa! Siku ambayo unajua ndo mna huo 'mkutano' uwe unakunywa maji mengi, hasa ya kilimanjaro! Hakikisha unakuwa nayo karibu, kunywa zaid mnapokaribia kuanza, mkiwa katikati (mapumziko) na mkishamaliza! Ahsante.

Sawa mkuu nitafanya hivyo.....
 
Habari zenu wana jamvii....

Me nina swali jamani....nikinywa kilevi wakati nnataka kusex na shemu wenu ute unakata na papuchi inakuwa kavu zaidi.Je ni ugonjwa au???

Jamani jamani jamani miss strong umenitia mawivuuuu @ najaribu kuipiga papunchi inavyokuwa kavu! Ebu sema neno hadharani kama unitie nguvu aisei!
 
Back
Top Bottom