Nape kwanini usifuate nyayo za Katibu wako Mkuu. Pamoja na mambo yote ya CCM huyu bwana anahangaika kukijenga chama chake huwezi kumsikia anasema chama cha upinzani. Yeye kazi yake ni kuangalia udhaifu uliopo na kutafuta njia za kuuimarisha. Saa kuwa naye karibu nilidhani angekugaia busara japo kidogo lakini hakuna kitu.


