Mpiganaji makini yeyote hawezi kupigana bila kujua siri za adui wake. Siri hizo haziji tu kama huweki mkakati wa kuzipata. Kuwapo watu Fulani walio na mtazamo sawa na UKAWA naunga mkono kabisa, kwani uhuni wote wa CCM utaweza kuanikwa na kwa mtaji huo itakuwa rahisi sana kummaliza adui kwa mafuta yake mwenyewe, kama Idd Amin alivyofurushwa kwa kutumia silaha zake mwenyewe asijue namna ya kuzitumia. Kitabu chako mwenyewe hakina msaada sana kwako binafsi bali kinaweza kusaidia wengi nje ya familia yako.