UKAWA kumbe mnawakilishwa Bungeni

UKAWA kumbe mnawakilishwa Bungeni

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Said Amour Arfi.
Naona Huyo mjumbe anawakilisha kundi la walio wachache.
Sasa kama mmeshigawa hivii, kuna haja gani ya kubaki kama kuna wajumbe wanaendelea kutoa maoni kwa niaba yenu.
 
umepewa kitu na CCM . maana vijana mmezoea kulia lia mkivutwa tu mnajifanya wajanja na kusahau kumbuka kizazi chako kitapata tabu kuwa na ushabiki mfu.
 
hebu jaribu kuaktiveti/apdeti chaja ya akili yako,ni aibu kumwaga upumbavu wako mbele ya hadhira!
 
Mpiganaji makini yeyote hawezi kupigana bila kujua siri za adui wake. Siri hizo haziji tu kama huweki mkakati wa kuzipata. Kuwapo watu Fulani walio na mtazamo sawa na UKAWA naunga mkono kabisa, kwani uhuni wote wa CCM utaweza kuanikwa na kwa mtaji huo itakuwa rahisi sana kummaliza adui kwa mafuta yake mwenyewe, kama Idd Amin alivyofurushwa kwa kutumia silaha zake mwenyewe asijue namna ya kuzitumia. Kitabu chako mwenyewe hakina msaada sana kwako binafsi bali kinaweza kusaidia wengi nje ya familia yako.
 
Back
Top Bottom