Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

CHADEMA Watawadanganya CUF na NCCR kuwa wao ndio wanakubalika hivyo wamuweke Mzee Slaa apiganie Urais

Hata wewe unajua kwamba huyo ndiye anakubalika zaidi. Ndo maana unaanza uchonganishi.
Hata JK amalijua hilo kwamba kama usingwkuwa uchakachuwaji wa MAFISADI wa ccm kwa sasa angekuwa Ikulu.
 
zanzibar hawamjui kabisa slaa... Mkuu huo uchakachuaji ndio lile kontena la kura tunduma?
 
Thanx god wamepata akili ya kuungana sasa kazi moja tu,kuipelka tanzania inapostahili
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Hivi wewe unafikiri kuwa watanzania wa wakati wa Mrema ndo wa leo? Kweli umepotoka!
 
Ni wazo zuri lakini bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na daftari jipya la wapiga kura, CCM wataendelea kujipachika ushindi tu.
Usijali, hayo ni lazima yatimie kwanza vinginevyo hatuna hata haja ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kumbuka kuwa hata kura ya maoni juu ya katiba mpya, ji lazima daftari liboreshwe.
 
Hata wewe unajua kwamba huyo ndiye anakubalika zaidi. Ndo maana unaanza uchonganishi.
Hata JK amalijua hilo kwamba kama usingwkuwa uchakachuwaji wa MAFISADI wa ccm kwa sasa angekuwa Ikulu.

Hao wachakachuaji walichakachua mpaka kura za ubunge na udiwani?
 
Kote huko Tume ilikuwa imekataa kutangaza Wananchi wakashinikiza ndo wakatangaza.
2015 ccm hamna pa kutokea
Uchaguzi wa marudio huko Arumeru ya Mashariki, Daftari la wapiga kura lilikuwa limeshaboreshwa?
 
Hao wachakachuaji walichakachua mpaka kura za ubunge na udiwani?

Nikutajie majimbo machahe tu:
Musoma Vijijini (Wakimtumia Zitto ili mgombea wa CDM ajitowe Mkono apite bila kupingwa), Sumbawanga Mjini, Mbeya Vijijini, Shinyanga Mjini, Kibaha Mjini n.k.
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

Tunahitaji Rais kijana ambaye ni James mbatia. Hao wazee wawe washauri tu miaka imeenda.
 
Uchaguzi wa marudio huko Arumeru ya Mashariki, Daftari la wapiga kura lilikuwa limeshaboreshwa?

Hakuna aliyekubali kuongeka si unajua watu wa ARS, Moshi, Kigoma na Kanda ua ziwa walishajitambua na kujikomboa muda mrefu.
Mind you kuna Diwani Mmoja wa ccm Musoma Mjini kati ya madiwani 14.
 
Sijui kama Bavicha watakubali Lipumba awe mgombea Urais alaf Slaa apumzike.
 
Arumeru Magharibi, Longido, Monduli, Ngorongoro sio Arusha? Acha ulaghai kijana!
 
Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
HIVI WADAU ACT ni nini? Huyu ni mmoja wa wafuasi wa ZITTO na ACT, lakini pia ni shabiki mkuubwa wa ACT!
 
Sijui kama Bavicha watakubali Lipumba awe mgombea Urais alaf Slaa apumzike.

Hapo ndipo moto utakapoanzia, BAVICHA ARUSHA/MOSHI, hawatakubali chama chao kijiingize kwenye ushirika wa hivyo na watu wa "mataifa". Mkuu Ruttashobolwa kipindi kile cha maandamano kuna watu walikufa kwenye harakati za "kukomboa nchi" , kuna mjane mmoja ambaye mumewe alikufa pia, yeye alijitokeza kwenye mkutano wa CUF uliofanyika Arusha, na kusema kuwa CHADEMA kupitia LEMA walimdhulumu fedha zake zilizochangwa na wananchi wa Arusha kama Rambirambi. Pia Kama CUF walishuhudia matukio ya kisanii ya CHADEMA kama haya, kwanini wanaungana nao tena?
 
Last edited by a moderator:

Hiki ndicho ulichozaa msalani?
 
Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.
wewe kilaza kweli.. neno akili nalo gumu kwako?
 
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,

CCM ilitakiwa iwe imeondoka toka uchaguzi wa 2010. Kwa data tulizokuwa nazo, CCM (kwa kushirikina na taasisi hii ovu inayoitwa NEC, na vyombo vya dola) iliiba karibia ya KURA MILIONI 2.7 za VYAMA ktk ngazi ya urais na kugeuza matokeo mengine ya wabunge takriban 29 toka vyama vyote. Huu muungano wa UKAWA ungekuwepo toka 2009 kuja 2010, CCM ilishazikwa kama KANU ya Kenya au Congress ya India ilivyofanywa jui hii. Kwa hiyo KURA zote walizomtanzazia JK kuwa alipata, ukiondoa 2.7m na kuunganisha ktk za Dr Slaa, Prof Lipumba...! JK angebakia na nini? Hata wangeibaje wamalize?

Ila hakika, Mola wetu anatusikia kilio chetu saana....CCM mwisho wake ....tuaapa, ni 2015! Nadhani ushauri ulio bora kwa JK, ktk kuelekea mwishoni mwa mwaka huu, na kukaribia 2015, ATANGAZE TU 'KIPINDI CHA MPITO' na kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi...MPITO ambao ni wa lazima ktk kuruhusu taifa la Tanganyika kuelekea uchaguzi utakaobadili historia ya sasa na vizazi VYOTE vijavyo. Silaha kuu kwa UKAWA sio vurugu, wala uchochezi kama CCM wanavyofanya sasa bali ni vitu vikuu vinne tu (4) navyo ni; 1. ELIMU YA KURA KWA UMMA, 2. TUME HURU YA UCHAGUZI, 3. UJENGWAJI UPYA WA DAFTARI LA WAPIGA KURA, na 4. Ni KUWAPA 'LIVE' WANANCHI bila chenga kuwa nini CCM ndio MAAFA kwao kwa miaka yote 50 ya laana waliyopitia (UMASKINI, WIZI WA MALI YA UMMA, UJANGILI, BIASHARA YA UNGA, KUFILISIKA KWA KILA TAASISI YA UMMA! RUSHWA, DHULMA NK)...wananchi waweke azimio moja, hakuna makosa tena!
 
Back
Top Bottom