CHADEMA Watawadanganya CUF na NCCR kuwa wao ndio wanakubalika hivyo wamuweke Mzee Slaa apiganie Urais
Hata wewe unajua kwamba huyo ndiye anakubalika zaidi. Ndo maana unaanza uchonganishi.
Hata JK amalijua hilo kwamba kama usingwkuwa uchakachuwaji wa MAFISADI wa ccm kwa sasa angekuwa Ikulu.
Hivi wewe unafikiri kuwa watanzania wa wakati wa Mrema ndo wa leo? Kweli umepotoka!Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Usijali, hayo ni lazima yatimie kwanza vinginevyo hatuna hata haja ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ujao. Kumbuka kuwa hata kura ya maoni juu ya katiba mpya, ji lazima daftari liboreshwe.Ni wazo zuri lakini bila kuwa na tume huru ya uchaguzi na daftari jipya la wapiga kura, CCM wataendelea kujipachika ushindi tu.
Hata wewe unajua kwamba huyo ndiye anakubalika zaidi. Ndo maana unaanza uchonganishi.
Hata JK amalijua hilo kwamba kama usingwkuwa uchakachuwaji wa MAFISADI wa ccm kwa sasa angekuwa Ikulu.
Uchaguzi wa marudio huko Arumeru ya Mashariki, Daftari la wapiga kura lilikuwa limeshaboreshwa?Kote huko Tume ilikuwa imekataa kutangaza Wananchi wakashinikiza ndo wakatangaza.
2015 ccm hamna pa kutokea
Dr.Slaa hana mvuto tena UKAWA wengi wanataka mgombea urais awe Prof.Lipumba mgombea mwenza ni Mbatia, Dr.Slaa akagombee ubunge Karatu.
Hao wachakachuaji walichakachua mpaka kura za ubunge na udiwani?
Akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la arusha mapema jana katika mkutano wa [ukawa]katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo,chadema,dr wilbod slaa, alisema,tumefikia makubaliano kama [ukawa] 2015 kumsimamisha mgombea 1 katika nafasi ya urais,lengo letu sio kutafuta vyeo bali kuwakomboa wananchi watanzania waliopigika na mfumo wa chama cha mapinduzi,nilifarijika sana niliposikia maneno haya kutoka kinywani mwake,maana ndio mwisho wa chama cha mapinduzi umewadia,kimsingi ni kujipanga bara bara kusuka kikosi kazi kitakacho fanya kazi ya ziada kuhakikisha ccm haifurukuti kabisa,bg up [ukawa] pa1tutashinda,
Uchaguzi wa marudio huko Arumeru ya Mashariki, Daftari la wapiga kura lilikuwa limeshaboreshwa?
Arumeru Magharibi, Longido, Monduli, Ngorongoro sio Arusha? Acha ulaghai kijana!Hakuna aliyekubali kuongeka si unajua watu wa ARS, Moshi, Kigoma na Kanda ua ziwa walishajitambua na kujikomboa muda mrefu.
Mind you kuna Diwani Mmoja wa ccm Musoma Mjini kati ya madiwani 14.
HIVI WADAU ACT ni nini? Huyu ni mmoja wa wafuasi wa ZITTO na ACT, lakini pia ni shabiki mkuubwa wa ACT!Pigeni mahesabu ya kula zote za vyama vya ukawa 2010 kisha mlinganishe na za ccm mtapata majibu, msione watu wanajaa ktk mikutano, muulizeni Mrema walikuwa wanalisukuma gari lake for long distance.
Nawaahidi mtagawana mbao baada ya uchaguzi.
Sijui kama Bavicha watakubali Lipumba awe mgombea Urais alaf Slaa apumzike.
Mbatia ni kijana? Unaposema kijana unamaana mtu mwenye miaka mingapi?Tunahitaji Rais kijana ambaye ni James mbatia. Hao wazee wawe washauri tu miaka imeenda.
Hiki ndicho ulichozaa msalani?Hapo ndipo moto utakapoanzia, BAVICHA ARUSHA/MOSHI, hawatakubali chama chao kijiingize kwenye ushirika wa hivyo na watu wa "mataifa". Mkuu Ruttashobolwa kipindi kile cha maandamano kuna watu walikufa kwenye harakati za "kukomboa nchi" , kuna mjane mmoja ambaye mumewe alikufa pia, yeye alijitokeza kwenye mkutano wa CUF uliofanyika Arusha, na kusema kuwa CHADEMA kupitia LEMA walimdhulumu fedha zake zilizochangwa na wananchi wa Arusha kama Rambirambi. Pia Kama CUF walishuhudia matukio ya kisanii ya CHADEMA kama haya, kwanini wanaungana nao tena?
wewe kilaza kweli.. neno akili nalo gumu kwako?Jipeni moyo, wenzeni wanajipanga na uchaguzi mkuu mwakani ukawa wanazunguruka mikoani kupandikiza chuki na uchochezi wa katiba, wakija kushtuka hawana chao, wanaanza kulia tena tumeibiwaaaaaaa!
Hata siku moja hakiri ndogo haiwezi kuitawala. Hakiri kubwa.