Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

UKAWA ndio mpango wa Watanzania itakayoleta ukombozi mpya wa Taifa letu.
 

Mtoto wa fisadi kiroho juu, mwafa mwaka huu, mshauri dingi mhame nchi mapema
 
Kuna taarifa za ndani kuwa Lipumba ndiye anatakiwa awe mgombea pekee wa uraisi atakayesimamishwa na UKAWA 2015.Mzee Slaa kaambiwa asigombee ampishe Lipumba na kweli keshakubali kuwa hatagombea sababu ya matatizo anayoita ya kiafya sijui.Kuna kundi ndani ya CHADEMA halitaki Lipumba agombee kama mgombea pekee wa upinzani na linaongozwa na Tundu Lissu ambaye kiukweli yeye na Zanzibar ni vitu viwili tofauti hawapendi.

Hivyo Tundu Lissu kuonyesha kuwa hakubaliani ndio maana na yeye katangaza kuwa atagombea uraisi 2015.CHADEMA wamemwona kama msaliti wa makubaliano ya UKAWA kwa hilo tamko lake.Lakini mwenyewe yuko serious asingependa Hilo la Lipumba lipite.Tundu Lissu yeye anaamini CHADEMA ina uwezo wa kutoa mgombea uraisi anahisi kumpa Lipumba ni kuidhoofisha CHADEMA na wanachadema anahisi waweza piga kura za hasira wakaipigia CCM kama Lipumba atapewa hiyo nafasi.
 
lipumba hafai kuwa rais wa nchi hii. na atazeeka tu bila kupata urais wa nchi hii, atausoma kwenye magazeti tu. monduli, mwakyembe, magufuli sawa. ila wakimweka membe pia, ccm watapoteza kura nyingi sana kwasababu kwa jinsi watu walivyomchukia kibonde wa clous ndivyo walivyomchukia membe. kila utakapopita anaongelewa yeye tu. hasa baada ya kuilaani israel, makanisa yote hayataki hata kumsikia.
 
Buku 7fc, wengine wanawaita robots za Lumumba kwenye kile kiwanda cha uongo ... Waambieni Ukweli Viongozi wenu kuwa UKAWA ndo Mpango mzima...
 
Wewe ni profesa Maji marefu? Endelea kupiga ramli!.

 
Ikifikia suala la nani awe mgombea huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa UKAWA
 
mgombea wa UKAWA ni Dovutwa Yahmi Dovutwa ..hao wengine wanajisumbua tu ...
 
How credible is the source of this info?
 
Naona Lumumba Buk 7 mnaweweseka sana,cdm tupo kwenye chaguzi za ndani na sijaskia kikao cha kamati kuu kujadili huu upuuzi toka kwa wapuuzi wa lumumba
 
Uchaguzi ukifika wataunganisha nguvu zao kwa makubaliano ya nani anakubalika wapi na nini kifanyike.

Ieleweke kila chama kila viongozi wake, isitoshe sheria zetu sidhani kama zinaruhusu muungano wa vyama

kuwa kimoja.

Habari hii yawezekana ikawa nizaidi ya uzushi.
 

Sheria haziruhusu lakini vyama vinaweza amua kusema hatuweki mtu kugombea uraisi ila tunamwwunga mkono mgombea wa chama fulani wanacchama wote muungeni mkono.Wakijua akipita maslahi yao yataangaliwa naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…