Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo rasilimali wanazohubiri ndo zimewatoa bungeni? Tuondoleeni ushuzi wenu hapa na hao matapeli.
TUNDU LISU kaiba hela za taasisi na akaifilisi akaenda kujenga gorofa pale TEGETA. Atatwambia nini kuhusu ufisadi wa ccm wakati naye ni mwizi wa kutupa???
Huyo dj sina hata haja ya kumuongelea hapa nadhani kila mtu anajua jinsi gani alivyo mwizi wa kutupa hapa tz.
Hao matapeli wengne kama akina Lema na slaa nani asiyewajua mpaka mje kutuhubiria kana kwamba mmetuona tulivyo wajinga???
Huyo mdini lipumba na hivyo visuruali vyake vya kuishia chini ya magoti kwa kuendekeza udini pamoja na kijukuu chake toto la sultan seif sharif hamad nani asiyewajua walivyo matapeli na wasaliti kwenye siasa za nchi yetu???
Tuondoleeni ushuzi wenu hapa.
Nyie mngekua mnaishi Rwanda sizani kama mngelikua hai. Kitambo tumeshawazika.
ungeweka wazi kwamba UKAWA 2015 zanu yenu ya kuibia wananchi .... ni wale wale tu ....
Thanks mamy big like sema natumia cm tu.
Kuna taarifa za ndani kuwa Lipumba ndiye anatakiwa awe mgombea pekee wa uraisi atakayesimamishwa na UKAWA 2015.Mzee Slaa kaambiwa asigombee ampishe Lipumba na kweli keshakubali kuwa hatagombea sababu ya matatizo anayoita ya kiafya sijui.Kuna kundi ndani ya CHADEMA halitaki Lipumba agombee kama mgombea pekee wa upinzani na linaongozwa na Tundu Lissu ambaye kiukweli yeye na Zanzibar ni vitu viwili tofauti hawapendi.
Hivyo Tundu Lissu kuonyesha kuwa hakubaliani ndio maana na yeye katangaza kuwa atagombea uraisi 2015.CHADEMA wamemwona kama msaliti wa makubaliano ya UKAWA kwa hilo tamko lake.Lakini mwenyewe yuko serious asingependa Hilo la Lipumba lipite.Tundu Lissu yeye anaamini CHADEMA ina uwezo wa kutoa mgombea uraisi anahisi kumpa Lipumba ni kuidhoofisha CHADEMA na wanachadema anahisi waweza piga kura za hasira wakaipigia CCM kama Lipumba atapewa hiyo nafasi.

Uchaguzi ukifika wataunganisha nguvu zao kwa makubaliano ya nani anakubalika wapi na nini kifanyike.
Ieleweke kila chama kila viongozi wake, isitoshe sheria zetu sidhani kama zinaruhusu muungano wa vyama
kuwa kimoja.
Habari hii yawezekana ikawa nizaidi ya uzushi.
Buku 7fc, wengine wanawaita robots za Lumumba kwenye kile kiwanda cha uongo ... Waambieni Ukweli Viongozi wenu kuwa UKAWA ndo Mpango mzima...