Tetesi: UKAWA Mpya kuzaliwa, hakutakuwa na ACT

Mbona hawataki kushiriki chaguzi ndogo? Kuna uchaguzi wa Mbarali wameususia
Cdm hawawezi kuendelea kushiriki kwenye chaguzi hizi kukiwa na mazingira Yale Yale ya kupotezeana muda. Kama uchaguzi umedoda hiyo ni juu yenu. Mmeachiwa goli wazi mshinde bila usumbufu, maana hamna uwezo wa kushinda tena kihalali.
 
Kwa hiyo 2025 pia hawatashiriki? Maana mazingira yatakua ni haya haya
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Mfa maji haachi kutapatapa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo 2025 pia hawatashiriki? Maana mazingira yatakua ni haya haya
Mimi sio msemaji was cdm, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua, hatutajitokeza kupiga kura kwenye huo ushenzi uitwao uchaguzi iwapo mazingira yatakuwa ni hayahaya.
 
Mbona uliisemea kuwa haiwezi kushiriki Mbarali sababu ya mazingira? Kuna muda unakuwa msemaji wao na kuna muda unakuwa sio msemaji wao?
 
Nimekupa taarifa ambayo tayari ni rasmi toka chamani mwao, hayo ya 2025 sijui msimamo wao kama chama. Au una jazba hadi huelewi maelezo?
 
Wenye jazba ni nyie watukanaji na walalamikaji...Hicho chama chenu huwa hamuwahoji wakiwapa taarifa kama hizo? Kuwa wanaogomea uchaguzi, je huo mgomo utakuwa hadi lini, au mnaambiwa tu na kuitikia kama misukule?
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Panya hata wakiwa.100 akija paka Mmoja hatabakia panya wote watakimbia!;
Cha Muhimu wore wawe paka au wawe panya

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Wenye jazba ni nyie watukanaji na walalamikaji...Hicho chama chenu huwa hamuwahoji wakiwapa taarifa kama hizo? Kuwa wanaogomea uchaguzi, je huo mgomo utakuwa hadi lini, au mnaambiwa tu na kuitikia kama misukule?
Kwa taarifa yako nilishangaa hata uchaguzi mkuu wa 2020 walishiriki vipi, wakati dalili zote za uhayawani zilikuwa wazi. Sina chochote Cha kuhoji maana wamechukua uamuzi sahihi wa kususia chaguzi za kishenzi. Huo mgomo wao kama chama wanaweza kuwa na time frame yao, lakini sisi wapiga kura tunaojitambua ni Hadi mazingira sahihi yawepo.

Nyie mnaofaidika na mazingira haya ya chaguzi za kishenzi mnaweza kuendelea goli likiwa wazi. Ila imeshafahamika dhahiri kuwa ccm hamna uwezo tena wa kushindana kwenye chaguzi za heshima. Mfano halisi ni huu uchaguzi wa mbarali ambao wapiga kura wameudharau, na sababu ya kudharauliwa ni nyie majizi ya kura.
 
Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA wanakusudia kuanzisha umoja utakao unganisha vyama vya siasa vya upinzani na jumuiya mbali mbali za kidini kudai katiba mpya sasa.

ACT wametengwa kwa kuwa msimamo wao na ushiriki wao kwenye Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar unawafunga mikono.

Baadhi ya wana CCM wanaotajwa kusakwa kwa udi na uvumba na Chadema kwenye mkakati huu ni viongozi waandamizi kama Joseph Butiku, Warioba, Bashiru Ally na Luhaga Mpina (huyu wanamtafuta kwa kuwa ana mgogoro na chama chake kwa sasa).

Rai yangu: Nawasihi Chadema wakanyage taratibu huu waya wanaotaka kuuendea, kuhusisha dini kutawagawa wanachama wao na kama chama cha siasa si jambo la busara sana kuegemea kwenye taasisi za kidini.
Wakimueka mpina mwizi wamalizetu wavuvi sisi wavuvi tutawanyonga kabisa kwadhuluma ile tunamuomba mama aturudishie malizetu tu kwakuwa hatawao wanakiri kichaa mpina alituzulumu kweli.Nahadi sasa mpina hakusema alikusanya kiasi gani nahadi sasa anashikilia malizetu zakiasi gani mwizi yule
 
Kuna haja ya kuwa na double vetting za mawaziri, makosa kama ya mpina kipindi akiwa waziri yaligharimu mali na pengine maisha ya watu.
Mtu kuchomewa nyavu zake huenda wengine walizimia na kufa kabisa
 
Kaka nimshenzi mbwa yule kichaa kweli kunajamaa walimkuta anaumwa walimpiga sana kosa hakuna aliumia sana. Tulitangaziwa tuwaonyeshe zanazetu tulitekeleza kwaroho moja naleseni tuliwapa lakini majibu yao walisema wao siokwamba tumekuja kukagua nyavu sisi tumetumwa pesa kamahuna pesa tunachoma iliwengine waokope tupate pesa ukitoa pesa tunaacha malizako jamaa mpina kama mungu angekubali duayangu auguwa wehu yaani kifupi mungu amlani mpina mudawote viongozi wengine waliumizwa nahaliile walijaribu kutetea walijibu wao wanamsikiliza mpina na rais tu
 
pole sana kamanda
 
Back
Top Bottom