KILIVITE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 1,302
- 556
Kwa hiyo unashauri nn Mpenda mabadiliko mwenzangu
Ushauri wangu mkubwa ni kuwa Wana CDM,CUF,NLD na NCCR (UKAWA) tusikurupuke kujibu hoja.Kama ukiamua kuijibu tuangalie muda mzuri wa kuijibu ni pale ambapo tutaijibu bila jazba...Uzushi una tabia moja.Kati ya watu 10 unaweza kuwafikia watu wanne,unapoukanusha unajikuta hata wale 6 waliobaki ndio unawasambazia.