Ukawa msipotolea tamko maneno haya mtaanguka

Kwa hiyo unashauri nn Mpenda mabadiliko mwenzangu

Ushauri wangu mkubwa ni kuwa Wana CDM,CUF,NLD na NCCR (UKAWA) tusikurupuke kujibu hoja.Kama ukiamua kuijibu tuangalie muda mzuri wa kuijibu ni pale ambapo tutaijibu bila jazba...Uzushi una tabia moja.Kati ya watu 10 unaweza kuwafikia watu wanne,unapoukanusha unajikuta hata wale 6 waliobaki ndio unawasambazia.
 

Mkuu umeongea WAZO nzuri Sana. UONGOZI wa UKAWA unatakiwa ujitokeze hadharani mapema ili kumuondoa Mtanzania(hasa mwanamke) HOFU YA VITA ya libya. Kauli ya kwamba "mwanamke ndiye muathirika namba moja" Itawafanya wanawake Wengi waogope kupigia kura vyama vya upinzani. Chondechonde UONGOZI WA JUU nawaomba mfanye press conference mapema kwani huku mtaani kwangu hiyo propaganda ya VITA inayotumiwa na CCM inazidi kuwa kupunguza wapiga kura Wanamake kila siku. Mwenye namba ya Mbowe au email address yake naomba ili mm nimjulishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…