UKAWA mtakuwa wehu

We unawaambia wenzio na wewe huoni yanakuhusu hayo? kama umetumwa pole sana humu hatuhitaji wachumia matumbo, uzalendo kwanza mengine baadae, kama uliahidiwa cheo huko ujue kibarua unacho cha kukosoa mambo mazuri.

Nadhani unamalizia zile posho ulizopewa kwa ajili ya pasaka kwa kunywa viloba asubuhi na mapema.

Unapojaribu kuchambua kitu ikawa umeegemea kule akili yako inakokupeleka huwezi kujua mambo....

Katiba sio hvyo vitu vinne ambavyo kimsingi vimewekwa tofauti kabisa.

Nakusisitiza tena ZINDUKA na uachane na ushabiki wa kuangalia mifukoni mwa watu
 

Hahahaha unaonekana wewe hiyo ndo kazi yako eeeenh? pole sana acha hiyo tabia, waswahili husema "AISIFIAE MVUA UJUE IMEMNYEA" ndo wewe unayoyasema hayo ndo unanidhihirishia kwangu kuwa ndo tabia yako hiyo, acha kazi ya kibaraka wewe we umekuwa JINI mpaka utumwe? kuwa mzalendo kwa nchi yako, soma hiyo Katiba acha mbwembwe.
 

Ukifukuzana na chizi nawe pia utaonekana ni chizi.

Sitaki msemo huo utimie maana huji na hoja bali mihemko ya v.i.l.o.b.a....endelea kujipanga foleni upate posho
 
Ukifukuzana na chizi nawe pia utaonekana ni chizi.

Sitaki msemo huo utimie maana huji na hoja bali mihemko ya v.i.l.o.b.a....endelea kujipanga foleni upate posho

Kijana ntazidi kukueleza kuwa AISIFIEA MVUA UJUE IMEMNYEA, wewe unaonekana umeamkia hivo viroba, pole sana kama viroba vimekuchanganya kajipange tena ama endelea kunywa ili uzidi kuwehuka lakini ukija hapa ni za uso tuu.
 

Tatizo sio kilichomo kwenye katiba wanayopendekeza, bali kilichoondolewa.
Madaraka ya Rais
Ukomo wa Ubunge
Uwajibikaji
Na mengine mengi unayafumbia macho.
 
Acha kudharau chakula kwa sababu ya ushabiki na kuvimbiwa pesa za wizi. Tena si ajabu hujawahi mnunulia mtu yeyote nyama ya aina yoyote hata ya panya hujawahi nunulia mtu, unaonesha ni mbinafsi sana. Kama unaona maharage ni mboga ya hovyo na haifai kuliwa mbona serikali ilikuwa inatununulia maharage tukiwa ktk shule za bweni za serikali. Kama ni mboga hatari kwa afya ya binadamu kwanini basi SUA hawajapigwa marufuku kufundisha umuhimu wa maharage ambayo ni zao jamii ya legumes. Kama kweli ni mboga hatarishi inayosababisha mharo kwa binadamu, kwanini TFDA haijaipiga marufuku kuuzwa madukani na sokoni mitaani? ama kweli I was right when I posted that "Your name is a disgrace to our nation". Nadhani hukustahili na hustahili kuwemo kwenye orodha ya binadamu hapa duniani, ni heri ungekuwa mnyama kama nguchiro au ngedere au tumbili au ngili au digidigi tu kule mbugani,. Unadharau kwa sababu umezaliwa kwenye familia tajiri lakini mbona hata matajiri wengi tu nimekula nao maharage,,, ....aaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh!!!!!!!!!! Leo umenikera kuliko siku zingine zote!!!
 
Tatizo sio kilichomo kwenye katiba wanayopendekeza, bali kilichoondolewa.
Madaraka ya Rais
Ukomo wa Ubunge
Uwajibikaji
Na mengine mengi unayafumbia macho.

Kuna huyu jamaa anaejiita Ebola Hatari ni zuzu kupitiliza na huwa hajengi hoja.

Anipe vigezo vilivyotumika kuondoa hizi ibara katika MAADILI NA MIIKO YA UONGOZI WA UTUMISHI WA UMMA.
Nitaonyesha kwa ufupi katika rasimu ya pili ya katiba..
Ibara 15- inazungumzia suala LA zawadi katika utumishi wa umma

Ibara 16-inazungumzia umiliki wa akaunti ya nje ya nchi na mikopo

Ibara 17-inazungumzia wajibu wa kutangaza mali na madeni pindi unapoingia katika utumishi na baada ya kutoka katika utumishi wa umma kwa mali zako, za mwenzi wako wa ndoa na watoto wako waliochini ya umri wa miaka 18

Ibara 19-inazungumzia matumizi ya mali ya umma binafsi au kwa mtu unayenufaika naye.

Kiakili ya kawaida huwezi kuona kama hii katiba imeacha vitu vya msingi sana katika kuwasimamia watumishi wetu umma. Kila siku tunalalamika kuhusu viongozi wetu kulimbikiza mamilioni ya shilingi akaunti za nje hatuoni kama kwa kutumia vipengele hivi tungepunguza tatizo kama sio kuliondoa kabisa.

Tuache uzalendo wa kinafiki.
 

Hao vichomi wa lumumba wamewekwa hapa kwa ajili ya kuharibu mada yoyote kuhusu katiba mpya, wameandikishwa wiki moja na hawachangii mada nyingine yoyote, isipokuwa tu yale waliyokaririshwa.
 
Mpuuzi wewe na hao walokutuma, kama huna hela ya sikukuu useme watu wakupe, kojoa ukalalwe huko unaongea ujinga ujinga tu humu ndani au umetumwa, buku 7 huyo alokuzaaa mchumia tumbo wewe.

Mtaweza kuliangusha kweli kwa aina ya porojo mlizonazo?!
 

Attachments

  • 1428311006004.jpg
    37.6 KB · Views: 86

Iweje mseme katiba ni mbovu halafu mtake baadhi ya vitu vilivyo kwenye katiba vichukuliwe...mantiki iko wapi...simnasema ni mbovu.....wewe ni mmoja wa vilaza humu
 
sio kwamba ni mbaya yote kuna baadhi ya mambo hayapo sawa kuna baadhi ya vipengele vipo kiujanja kila kundi limewakilishwa ila hizo haki hawez kuzidai kisheria.

Wewe acha ujinga katiba inayopendekezwa kweli hujaisoma....ukaitaka kuona namna gani hizi haki zitatekelezwa tena kwa ufasah kabisa nenda kasome ibara ya 65 yote na vipengele vyake vitakusaidia.....ili uondokane na hilo giza kichwani kwako....waliokaa mule bungeni..maprofesa madokta...wakulima...walemavu....etc wote walikuw very keen kuhakikisha wanakuja kutendewa haki na katiba hii na ndivyo walivyoishape kuhakikisha kila raia ananufaika nayo
 

Sini ukawa wanasema mgombea binafs kawekewa mashart magumu....sini ukawa wanasema tume huru ni geresha....kaka usitake kutudanganya hayahaya ni miongoni mwa wanayoyapinga usidhani hatusomi...kingine kama ww huelewi usifanye wengine hawaelewi nan asiyejua yale ya warioba yalikuwa mapendekezo....kibaya zaidi kuna baadhi ya vitu walifanya case study which iz not relevant......mfano ishu ya wananchi kumuondoa mmbunge madarakani...mnatumia marekani yenye majimbo kama 50 hivi na hilo jambo linatumika kwenye majimbo 13 tu..how can u made it a case study...think it should be called cease study....umesahau kuwa bunge maalum ndilo lilikuwa na haki kishria kuileta katiba inayopendekezwa...kingine mbona asilimia kubwa ya yaliyokuwa kweny mapendekezo ya warioba yamo kwenye katiba inayopendekezwa....umesahau wasanii hawakuwepo kwenye mapendekezo ya warioba ulitaka kundi hili lilobeba vijana wengi liwe rejected kama warioba alivyofanya kwenye mapendekezo...au ulitaka walemavu wakose haki ya kupata nafuu kwenye matibabu kama warioba alivyopendekeza....acheni roho mbaya kutaka kukandamiza waliopata haki kikatiba kwa maslahi yenu ya kisiasa
 

Sijaona hoja ya msingi hapo yaani sijui unaimba au unaigiza labda waje wengine wakuelimishe
 

Sioni sababu ya wewe kukomaa na kuniita mjinga ok basi vizur kwa uelevu wako mungu akabariki milele uendelee kuwa mwerevu pia na hao wasomi waliokaa ktk bmk kama ulivyowaorodhesha ila ni point ndogo sana je hizo haki hao wasomi wameipa nguvu mahakama kisheria endapo hazitotekelezwa? Never trust the politician siku njema.
 

Pia inaonesha lugha chafu kwako ndo msingi mkuu wa maisha yako ukisoma heading tu ya hii habar utajua nini kusudio lako!!!
 

Wewe utakua miongoni mwa misukule inayotumiwa na UKAWA unaishia kupigwa mabomu wenzio wanapanda helkopta, mimi hao kuna time niliwaita madikteta wanaopinga kesi zao za vyama kusikilizwa mahakamani ni vigeugeu na waroho hii misukule inayofuata nyuma haijitambui kama kenge kwenye msafara wa mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…