UKAWA Wapuuzwe!

Paul Makonda, Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM na Mjumbe Bunge Maalum la Katiba, hili neno "BAPHOON" nina hamu sana ya kujua asili yake...umelitoa wapi!
 
Paul Makonda, Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM na Mjumbe Bunge Maalum la Katiba, hili neno "BAPHOON" nina hamu sana ya kujua asili yake...umelitoa wapi!

Tatizo hawa watoto wanaandaliwa makala na wao wanakazana kupost bila hata kuhoji kile kilechandikwa. Matakeo yake ndio hizo BAPHOON.Majanga!
 
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
 

Sehemu kama hii ya JF, tukishikilia viwango vyetu vya kwanza, post kama hii ilistahili kutupwa nje. Mtu kama mimi sistahili kujifunza chochote kwa Makonda. Hafai hata kuwa mwanafunzi wangu! Leo hii naye anapewa mic. na kusema!

Hiki ni nini sasa? Ningetegemea upange vizuri ili points zionekane kwa kuanzia huko Bungeni. Huko Bungeni ni aibu tu na badala yake hata ktk wasemaji wakuu wa chama wewe uko nje. wale wasemaji wenyewe nao ni chini ya kiwango. Wengine mumewakalisha na mtu wa kuwasaidia kupanga maneno, wako wapi?

Mwishowe nitaishia kuuliza ile simu iliyopotea bungeni kama ilisharudi, maana hapo Bungeni tunasikia mengi na hao asilimia kubwa wako CCM. Haiwezekani UKAWA unaowatungia hadithi ndo waharibu Bunge. Kulikuwa na ulazima wa kutaja waarabu na sultani ndani ya Bunge? Kuna mtu kauliza hapa JF Mbona UKAWA hawataji Wasomali walioko CCM? Wahindi, Waarabu, Waingereza, Wajerumani tuna historia nao. Tuna historia gani na Wasomali leo hii waongoze chama kikubwa kama CCM?

Nadhani tuko chini sana kwa viwango kuliko wengine tunavyotegemea. Nisingetegemea chama kama CCM kiwe na waandikaji wa aina hii.
 

Hilo neno 'baphoon' ni lugha gani kijana?
 
Vyama legelege halafu unachukua muda wote huo kuhangaika navyo? zitakuwa hazikutoshi wewe!


Hilo neno 'baphoon' ni lugha gani kijana?

Mwenyewe anadai ni watu wanaotumika kwa ajili ya watu wengine. Kama hivyo ndivyo, UKAWA wanatumika kwa ajili ya watu gani?
 

Wacha wahangaike hawatashinda maana Tanganyika ni mpango wa mungu.
 
Dogo unajiharibia. Ukiacha mambo ya kutumika after 2 or 3 yrs utakuwa mbali. Kama sio VOA BBC DW trust me
 
Clouds yote wanautindio wa fikira

Makonda ni mwehu kabisa akili yake ndogo haiwezi kutawala kubwa kamwe
 
"BAPHOON"Hilo neno lako mbona niinalikosa kwenye Kamusi ya Kiingereza? Neno ninalopata ni "buffoon (bəˈfuːn) n" Na maana zake ni hizi:
"1. a person who amuses others by ridiculous or odd behaviour, jokes, etc

2. a foolish person"



Nimechoka sana kwa upuuzi wa Makonda.
 
paul makonda anasumbuliwa na laana ya wazee anavyowatukana.

Hivi huyu sijui anawashwa nini..si watwngeneze katiba yao peke yao kwani lazima ukawa warudi? Si wanajiona wao ndo kika kitu nchi hii
 
Tatizo vijana wa tanzania hawaangalii mbali..wakina kikee wangekua na ushabiki wa kijinga ungekuta wameshia hapo kinondoni km hao watoto wa clouds
 
Acheni mawazo mgando, wiki iliyopita aliwapa airtime ya kutosha akina pumba na mbooo we mbona hamkusema?
 
Clouds ni sawa na familia jinga ukiamua kupiga p.u mbu kuanzia baba mama watoto mashemeji mama mkwe baba mkwe housegirl houseboy unafanza tu.
Wewe njoo na hela tu unafanya kila kitu
 
Acheni kulalama kama muke ya Kanjibai........siku alipotoa airtime kubwa kwa Lisu mlikuja kumpongeza ?
 

Kwa kuwa ameliweka kwenye quotes labda siyo nenonla Kiingereza. Ajitokeze sasa aseme ni nenon a lugha gani? Kilatini, Kiebrania au Kiyunani? Ashauriwe ajitokeze ili atusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…