UKAWA Wapuuzwe!

UKAWA Wapuuzwe!

Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.

Chama cha MAPINDUZI na Serikali yake ndio WAAJIRI WAKUU NCHINI...

Umesha wahi kuona WANA-BLOG na Wapiga PICHA na Watangazaji... Wakiambatana na VIONGOZI wa UPINZANI MIKOANI?

Ni CCM pekee inawapa RUZUKU za KUISHI NCHINI... Sababu CCM ina WIZARA ya HAZINA kibindoni kwao...

Sasa hapo ndio ULAJI... Unategemea hao waandishi au wanahabari watasema chochote kibaya ndani ya NCHI???

Is EVIL CRIMINALS... i.e MAFIOSO
 
"BAPHOON"Hilo neno lako mbona niinalikosa kwenye Kamusi ya Kiingereza? Neno ninalopata ni "buffoon (bəˈfuːn) n" Na maana zake ni hizi:
"1. a person who amuses others by ridiculous or odd behaviour, jokes, etc

2. a foolish person"

Nimechoka sana kwa upuuzi wa Makonda.
Mkuu Usihangaike ana kithethe Mkuu hata mimi nimeangalia nikaona kumbe amebugi....
 
Natamani kukupigia simu kukueleza wazi huna hoja...anyway kwa kuwa umetoa number na huna hoja ngoja nikupigie nikwambie live kabisa maelezo yako yooote ni bure kabisa
 
Huyu Makonda yeye anaposema kuwa Nyerere katukanwa, mbona yeye alimtukana Mzee Lowasa na wazee wengine akiwamo na Kikwete awakukemea hayo? Au wazee CCM ni Nyerere tu.
 
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.

Acha ujinga wako wewe! Nchi hii ni ya Demokrasia kila mtu ana haki ya kuamini na kufuata anacho penda! Kama mnataka anzisheni radio UKAWA na TV UKAWA muwasifie akina Mbowe,Mbati,Limpumba na Maalim Seif kuanzia asubuhi hadi usku wa manane kwa kila siku
 
Hivi BAVICHA wabadhani CHADEMA ndiyo wanahaki ya kupewa Air time......Demokrasia bado haijulikani kwa wengi. Sikuzote lazima ukubali kuto kukubaliana.
 
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.

kila anayetumikishwa na ccm , atavuna alichopanda !
 
Acha ujinga wako wewe! Nchi hii ni ya Demokrasia kila mtu ana haki ya kuamini na kufuata anacho penda! Kama mnataka anzisheni radio UKAWA na TV UKAWA muwasifie akina Mbowe,Mbati,Limpumba na Maalim Seif kuanzia asubuhi hadi usku wa manane kwa kila siku

Hawezi kukuelewa kwasababu ameshikiwa akili.
 
Dogo mbunge wako ni joshua nassary sasa cjui una2mika ili uje ugombee ubunge
but jitathmn upya
acha ku2mika utadoda kama marlaw vile
 
Alianza na ukawa wiki iliyopita leo kamaliza na umoja wa vijana bungeni!
Pia hajafanya mahojiano ila m/kiti wa umoja vijana bungeni alituita waandishi wote kutoa tamko la umoja huo!

CCM wanao hadi waandishi ! Kazi ipo !
 
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.

Mbona husemi BAVICHA wanavyopewa airtime ya kutosha ITV ya mchaga mwenzao!
 
Ninakushukuru kwa maelezo yako ila ningeomba nitoe wito kwa waandishi wa habari muwe mnawauliza hao wanaotoa (matamko/taarifa) maswali magumu ili kuepusha manung’uniko ndani ya jamii kama haya.Msikubali tu kupewa taarifa na kuzitoa zilivyo.Sio mtu anawaambia tu Serikali tatu/mbili/nne hazifai ni lazima watoe sababu ya kwa nini hazifai au ni kwa nini zinafaa,wananchi wamechoka kudanganywa hivyo msipojiongeza mnaweza nasibishwa na kundi hasimu.

Mkuu, kuuliza kwamba kwanini unataka hili na sio lile mara nyingi hufanywa na waandishi wa habari za kiuchunguzi au majarida tofauti na sisi wa radio au tv.
 
Msimamo wa Clouds FM unajulikana toka zamani kuwa wako upande wa CCM...sioni cha ajabu kwa Ayo kurusha matangazo yenye mrengo wa kuibeba CCM... The best we can do ni kuanzisha vyombo huru visivyofungamana na Chama chochote ...
 
Jaman millard tena kwel kazi ipo ila ukweli mnaujua kua kjana yuko poah sana mnaamua2 kutukana sasa mltaka afanyeje? Yesu rudi basi watu wamelewa kwenye ukwel wanapuuza na kutukana njooo hukumu yaishe
 
Back
Top Bottom