nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,801
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
Chama cha MAPINDUZI na Serikali yake ndio WAAJIRI WAKUU NCHINI...
Umesha wahi kuona WANA-BLOG na Wapiga PICHA na Watangazaji... Wakiambatana na VIONGOZI wa UPINZANI MIKOANI?
Ni CCM pekee inawapa RUZUKU za KUISHI NCHINI... Sababu CCM ina WIZARA ya HAZINA kibindoni kwao...
Sasa hapo ndio ULAJI... Unategemea hao waandishi au wanahabari watasema chochote kibaya ndani ya NCHI???
Is EVIL CRIMINALS... i.e MAFIOSO