UKAWA Wapuuzwe!

Tatizo lako ni kupenda sifa kupita kiasi. Humu JF wapo watu wenye uelewa mkubwa sana, unapotaka kuposti chochote jitahidi kutulia na pia kushilikisha akili. Usikurupuke
 
Acheni mawazo mgando, wiki iliyopita aliwapa airtime ya kutosha akina pumba na mbooo we mbona hamkusema?

Habari yeyote lazima iwe na usawa ,kuwahoji watu wa upande mmoja tu wewe unaona ni sahihi?.
 
Habari yeyote lazima iwe na usawa ,kuwahoji watu wa upande mmoja tu wewe unaona ni sahihi?.

Alianza na ukawa wiki iliyopita leo kamaliza na umoja wa vijana bungeni!
Pia hajafanya mahojiano ila m/kiti wa umoja vijana bungeni alituita waandishi wote kutoa tamko la umoja huo!
 
Wapinzani wa Nchi hii ni "BAPHOON". Maana ya BAPHOON ni Watu au Kundi la Watu linalotumika Kwa Maslahi ya Mataifa Mengine Kuangamiza Taifa Lao. Wako Tayari Hata Kuchukua Mabomu na kulipua Nchi yao Wenyewe. Hawa ndio wanaojiita UKAWA (THE BAPHOON)

Katika kamusi ya Kiingereza neno hilo halipo! Tafuta neno lingine kwa lugha za eneo la masharikimwa Afrika kama "INTERAHAMWE"
 
Huyu dogo milard kashalewa sifa,hajui kuna watangazji mahiri zaidi yake
siku nyingi anaibeba ccm,siunajua ile radio ya kina ruge hailipi kodi,unaweza iita tbc taifa 2
 
Zanzibar ni 95% muslim wako kama 1.2 million.
visiwa hivyi ni visumbufu sana.
Hatuvichii kabisa kuwa huru
Tuliwachia watakua waislam( sijui wawe mara ngapi)
Lazima wawe chini ya jeshi letu chini ya amiri jeshi wetu....hayo ni baadhi ya maneno ya Lukuvi waziri wa sera
Neno hatuviachii mana yake unasemea serikali ya tanganyika ilovaa koti la muungano
Maana yake pia ni muungano wa nguvu sio hiari
Maneno ya lukuvi ndio ya ccm
Kama kuna nia nzuri munge mwajibisha kwa sababu leo kila mtu ameshtushwa na maneno haya 50 yrs ya muungano huu.
Si maneno ya kuonesha umoja ila ni muungano wa nchi moja kubwa kuimeza nyengine ndogo..
Leo sijui Shein anaonaje anaposikia visiwa anavotawala pamoja na yeye ni wasumbufu na wapo under control ili uislam wao usiwe ndio sera ya dola yao.hivyo kuna siku hata hio mahakama ya kadhi znz watambiwa waifute.
Najiuliza muungano huu ungekua ni kati ya Kenya...bila ya shaka ungedumu siku 2 tu...lakini kwa sababu ukubwa wa tanganyika umefanya znz wawemo tu hawana budi.wamejaribu tangu kuasisiwa kwake kujitoa lakini wengi wamepotezwa.
Nia njema hakuna na ccm wameufanya huu muungano wa kichama zaidi na suo tunu ya taifa na sasa wameufanya wa dini..
 
Alimbeba msaliti zzk,kwa maagizo ya lumumba,mwisho wa siku yy na msalit aliaibika
 
Dogo unajiharibia. Ukiacha mambo ya kutumika after 2 or 3 yrs utakuwa mbali. Kama sio VOA BBC DW trust me

huyu dogo alianza vizuri sasa naona atapotea muda si mrefu kama hataacha ukanjanja.
 
We ----- nini, kwanini huwatii viongozi wako walio kuagiza usi sikize clauds wala tbc, sasa unashitaki kwA nani?
 
wacha amtumikie shetani ccm ndo njia aliyochagua kwa kuiacha haki kapenda giza(ccm)
 
Huyu dogo milard kashalewa sifa,hajui kuna watangazji mahiri zaidi yake
siku nyingi anaibeba ccm,siunajua ile radio ya kina ruge hailipi kodi,unaweza iita tbc taifa 2

mkuu kumbe hata kodi hawalipi?ruge, gerad hando, kibonde kanusheni habari hizi la sivyo mnaelekea vibaya
 
Alianza na ukawa wiki iliyopita leo kamaliza na umoja wa vijana bungeni!
Pia hajafanya mahojiano ila m/kiti wa umoja vijana bungeni alituita waandishi wote kutoa tamko la umoja huo!

Ninakushukuru kwa maelezo yako ila ningeomba nitoe wito kwa waandishi wa habari muwe mnawauliza hao wanaotoa (matamko/taarifa) maswali magumu ili kuepusha manung’uniko ndani ya jamii kama haya.Msikubali tu kupewa taarifa na kuzitoa zilivyo.Sio mtu anawaambia tu Serikali tatu/mbili/nne hazifai ni lazima watoe sababu ya kwa nini hazifai au ni kwa nini zinafaa,wananchi wamechoka kudanganywa hivyo msipojiongeza mnaweza nasibishwa na kundi hasimu.
 
1. Mkuu muungano haukuwa wa Hiari hata juzi Kabudi kasema Baraza la mapinduzi halijawahi kuridhia muungano na wala hakuna kikao chochote kilicho wahi kuketi.
Kma bavicha wametumwa wewe nanai kakutuma au SITTA .
Punguza kutoka mapovu ati na wewe umejenga hoja hapo kithethe kingiii sisi tunawacheki tuu huku kitaaa unabwabwaja as if sisi hatuawaoni na dawa yenu ni Maaskofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…